Penguin asante kwa kunisaidia.
Unajua mara nyingi tu huwa naona hapa watu wanatangaza jamani nina simu ya aina flani tubadilishane kwa simu anayoitaka,labda anasema yuko tayari hata kuongeza pesa.
Sasa kwa nia njema nikaona amepata suluhisho kwenye simu yake ya tecno ila ile nyingine bado,ndio mana nikamshauri auze na kununua ambayo inaendana na mahitaji yake.
Kuna mafundi wa simu pia wanaongeza zile sehemu za kuweka line zaidi,angeweza kuongezea kwenye simu ya tecno ambayo amefaulu kublock iyo namba.
Hayo ni mawazo yangu. hasira,gadhabu,kunionya vilikuwa vya nini?

Shuhudia ukosefu wa ustaarabu wake
Ametoa ushauri ambao hauna tatizo ,ila wewe unataka kuleta tatizo ambalo halina ulazima