How the World's Largest Cruise Ship Floats

How the World's Largest Cruise Ship Floats

ooh...hivi hata Tanzania si tunazo eeeh!!
 
Ukiangalia kiwango cha maji hiyo meli inayoyasukuma ili ipite ina maana siku ikija Dar lile soko la samaki feri itabidi lifungwe kwani maji yatakaribia ikulu, au sivyo?.
 
Hii kitu ni kubwa sana halafu nzuri mno. Bravo for the mind which invented it!
 
Ukiangalia kiwango cha maji hiyo meli inayoyasukuma ili ipite ina maana siku ikija Dar lile soko la samaki feri itabidi lifungwe kwani maji yatakaribia ikulu, au sivyo?.

haaa!!.... kumbe ikulu imejengwa kwenye njia ya cruise ship eeeh!!!
 
haaa!!.... kumbe ikulu imejengwa kwenye njia ya cruise ship eeeh!!!
Vipi wee Preta!.Nakusudia hii meli ili ipite husukuma pembeni maji mengi,ndio nikadhani ikipita pale Kigamboni maji yanaweza kujaa mpaka soko la samaki likafungwa,au nimekosea?
Ikiwa wewe ni kilaza wa sayansi kama mimi basi Emsaquared aje kutuvya.
 
Back
Top Bottom