How smart are you??!

Yaani hofu kwangu ondoa, mimi niko buheri wa afya..
Nimelipenda tabasamu lako mpaka nikinywa maji ninakuona kwenye Glasi..
he he heeeeee, usiku hulali unaniota mimi tu. sasa sijui unaniota ukiwa macho? lol!
 
Yaani hapa nilipo nakuota wewe,, sijui nikwambie????
 
ha haaaaaaaaaaa, napenda ndoto za mchana, hasa unapokuwa macho; enhe, nisimulie......

Mimi huwa naota huku natembea, nacheza mpira, nakula, nikiwa Toi (you know now!) huwa sioti usiku kabisa..
Na kubwa zaidi huwa nakuota wewe tu na hilo pozi lako.
 
good to hear that hilo pose linaweza kuwageuza wasioota wakaota, lol
 
Yaani nimeota, hadi nimegeuza Tisheti ili na wewe uniote.. Bado tu hujaanza kuniota?:A S embarassed:
Kuna mtu aliniambia nikiota halafu nikageuza Tisheti basi niliyemuota naye anaanza kuniota
 
ungekuwa unaota ukiwa umelala wanasema ugeuze godoro, ukigeuza godoro ndo na mimi ntaota(kazi kwako kumu-explainia wife atoke kwa kitanda unataka kugeuza godoro), hiyo ya tisheti hai-work kwangu, lol
 
Ngoja leo nitajaribu kugeuza ule mkeka wangu.. Ikiweki basi nistue tufanye mipango ya ndoa,
Halafu ni waifu gani tena unamzungumzia hapa? Mbona mimi simjui?
 
JF full raha, full miburudani, full kuelimisha! JF oyeeeeeee!
 
Ngoja leo nitajaribu kugeuza ule mkeka wangu.. Ikiweki basi nistue tufanye mipango ya ndoa,
Halafu ni waifu gani tena unamzungumzia hapa? Mbona mimi simjui?
si yule wa nyumbani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…