Egyps-women
JF-Expert Member
- Feb 5, 2010
- 498
- 106
Hawa mmh
Hawa mmh
very well said mamy!!!! ngoja waendelee ku do na ku undo ila iko siku Mungu atawaa undo na wao ndo watakiona cha mtema kuni, kuwanyasanyasa wadada wa watu kwa kuwamega kisha kuwatema.wataweza tu wakimrudia mungu cz wanayoyafanya si kwa nguvu zao ni SHETAN ANAWAENDESHA
yes kuvutiwa kupo bt not 2the extent ya ku un do yule wa jana na kuklik next wa leo.....wanataka wampiku mfalme suleiman et ...wataweza??
wakitafuta neema ya mungu na mungu akawa kila kitu kwao i tabia wataacha cz mungu atawaguid kwa kila kitu watakuwa na eva mmoja n thats t ata km delila akijipitisha na uzuri mwing km wa cleopatra wala hawatatetereka!!!!!
hahahaha Rose umenichekesha sana wajua nimekaa hata siwaelewi kwa nini wanafanya hivi?kweli wanatakiwa upako
hahahaha Rose umenichekesha sana wajua nimekaa hata siwaelewi kwa nini wanafanya hivi?kweli wanatakiwa upako
Most men have this problem of desiring any lady they see who crosses their line of sight. A man may decide to stick with a certain lady today, but the next day another lady may appear to be more attractive and gorgeous than the girl he intends to settle down with. Beautiful girls are so many and located everywhere that making a choice has always been like;
YES SHE IS THE ONE!!! baadae utamsikia ...mmmh
NO IT IS THIS ONE!!!
Hii mambo mbona inakuwa siku hadi siku kulikoni???????????????????????????!:A S 33::A S 33:
Msinimeze hv great one !
Ushauri tu, ficheni mapambo yenu muwaonyeshe wanao husika tu!
Hamna chochote rafiki.... two can play that game, and for men to stop it, women may need to apply the brakeslabda hilo linaweza kuwa suluhisho maana wanavyokatiza striti na kata k, push up, mini, tait aah! wanasababisha brodas wapate shida kupitiliza
wataweza tu wakimrudia mungu cz wanayoyafanya si kwa nguvu zao ni SHETAN ANAWAENDESHA
yes kuvutiwa kupo bt not 2the extent ya ku un do yule wa jana na kuklik next wa leo.....wanataka wampiku mfalme suleiman et ...wataweza??
wakitafuta neema ya mungu na mungu akawa kila kitu kwao i tabia wataacha cz mungu atawaguid kwa kila kitu watakuwa na eva mmoja n thats t ata km delila akijipitisha na uzuri mwing km wa cleopatra wala hawatatetereka!!!!!
napinga isnt nature
ni tabia binafsi cz kuna wanaume wengine HAWANA KABISA TABIA IZI NI WA MKE MMOJA TU ...
WANAOJIFANYA NI NATURE NI KWAMBA WANATAFUTA JUSTFCATION TU ..ni kujiendekeza tu kwani wanawake wao hawataman?au vipofu hawaoni vizur ao mahandsam?
ni tabia ya ukengewima bt nt nature apana nooooo nagoma!!!!!!
@FL1...
Umeleta mada nzuri sana, tatizo majibu yake ni changamoto kidogo... Personally i dont think it is fair to generalise that men are womanisers, i think there is less than 30% of men ambao ni womanisers (sina source ya data though)... I also believe that in our society these days, it s so easy to see a girl leaving her home after making sure that she is going to "wow" men with her style etc... this means that without flirting mwanamke hainjoi tena siku hiyo
secondly, i do believe that there is an equal chance that women have the same attaraction au scenario za kutamani the opposite sex kwenye equal proportion na wanaume, but we usually play it down
Nitatafuta sababu nyingine konyagi ikiisha mwilini, lakini je.... HOW CAN WOMEN STOP BEING WOMANIZED ADN WOO-MAN-NIZED?
I think its an opportunity for women to tell us what measures should be taken regarding that matter
FL1 Siyo jambo rahisi kwa wanaume kuacha hako kamchezo unless wawe transformed in their minds/sprits. Suala la kumtamani msichana/mwanamke au kupata mvuto wa mvulana/mwanaume kwa msichana/mwanamke ni asili lakini asili hii haikulazimishi kuchukua hatua. Mwanaume unapomuona msichana ni mzuri/mrembo kwa mtizamo wako, unachukua hatua gani baada ya hapo? Kinachotakiwa ni kuishia hapo kuwa msichana/mwanamke amebarikiwa kuwa mrembo that is all.
Shida ya wanaume ambao hawajawatransformed ndani ya mind zao wanatamani sasa wachukue hatua inayofuata ya kumfuatilia huyo msichana/mwanamke na hapo ndipo wanaume tunapokosea. Wasichana/wanawake warembo wako wengi sana na wengine hawajazaliwa; sasa ukiwa na tabia kuwa kila mrembo unayemuona ni lazima ulale naye ni hatari. Chagua mmoja tu kati ya warembo wote unawaona, huyo awe mke wako na huo uwe mwisho wa kuwaangalia na kuwatamani warembo wengine waliobaki. Naamini unachotamani kwa huyo mrembo unayemuona mkeo anacho na unaweza kukipata, hii ndiyo inayotakiwa kwa kila mwanaume.
Kwa nini umnyime raha mkeo kwa kutembea na msichana/mwanamke mwingine? Na wasichana/wanawake nawauliza kwa nini ukubali kulala na mtu ambaye siyo mme wako? Ninachojua wadada/wanawake wote wakiamua kutowakubalia wanaume ambao sio waume zao, hatutakuwa na wanaume tutakaowaita womanizer.
Namalizia kwa kusema haka ni kapepo ka uzinzi tukaondekeza na ni lazima tukakemee na tukimbie.