Jambo ambalo wa TZ wengi hatujazoea ni kuacha gari nyumbani na kutumia usafiri wa kukodi (Tax/Uber/ Bolt etc) pale unapafahamu leo ni siku ya kumwagilia moyo vilivoooo.
Shida ingine wanywaji wanapenda hama hama baaa - anaweza enda bar hata 3 - 5 kwa siku/usiku mmoja
Kigali wengi wameweza fanya hivo