How rich is Kenya?

Leo wamekufa wangapi kw njaa

Alafu pia nataka kujua km hutaki kuskia km kenya ni watatu kiuchumi sub saharan africa au unakataa

Msimu wenu wa kufa kwa njaa bado haujafika.

Nasema tena; kama uchumi hau reflect maisha ya watu hata ungekuwa ni uchumi wa kwanza duniani huo uchumi hautakuwa na maana yoyote. Ni uchumi for show.
 
Kumbe msimu
Kwhyo inamaana mpka uje msimu ndio watu waanze kuteseka..
Basi infaa useme hivi kuna sehemu kenya huteseka kw sababu ya tabia nchi wala sio uchumi..

Au wewe unaweza zuia majanga ya Muumba wako

Alafu kwhyo unakataa km kenya sisi namba tatu
 
Vipi kuhu leo jana wame starve wangapi, tatizo hamtaki kukubali..
Kwn ukisema hutaki kuskia sisi watatu kiuchumi ukitoa north africa utakufa
tatizo nyinyi mmeleta takwimu zenu with a hidden agenda ambayo ni 'kuCompare TZ n Kenya'..... si mngejieleza tu bila kutushobokea!
 
Kumbe msimu
Kwhyo inamaana mpka uje msimu ndio watu waanze kuteseka..
Basi infaa useme hivi kuna sehemu kenya huteseka kw sababu ya tabia nchi wala sio uchumi..

Au wewe unaweza zuia majanga ya Muumba wako

Alafu kwhyo unakataa km kenya sisi namba tatu

Tena hiyo ndiyo nzuri kujua kwamba kuna msimu, maana yake ni kwamba unapata nafasi ya kujiandaa kudhibiti hilo tatizo, hebu chukua huu mfano; kaja rafiki yako na anakutaarifu kwamba kesho atakuja mwizi kuiba gari yako halafu kesho ikafika na mwizi akaiba gari huku wewe umepiga usingizi.---- nyinyi Wakenya mnajua kuwa kila mwaka mamilioni ya watu wenu hukakabiliwa na baa la njaa na baadhi ya watu hufariki kwa njaa sasa mnashindwaje kujiandaa kukabiliana na hilo baa wakati nguvu yenu ya uchumi ni kubwa (ya tatu in sub saharan), mnaweza kuhifadhi chakula cha kutosha kila mwaka kukabilina na hilo baa la njaa kwani pesa si mnayo!!!, lakini inaonyesha bado mmepiga usingizi kwa kuona uhai wa watu wenu hauna maana kuliko utajiri mnaoulimbikiza kuja kuringishia majirani zenu, shame on you.

Katika Burundi, Rwanda, Uganda, malawi, Zambia, Tz nk,nchi ambazo uchumi wao ni mdogo kuliko nyie huwezi kusikia Mamilioni ya watu wao hukumbwa na njaa na baadhi yao kufa kama ilivyo kwa Kenya.

Hapo bado tu mtakuja kutamba kwamba uchumi wenu ni mkubwa huku mnakufa njaa??!!.

Msimu wa njaa ukifika (mkuje) mje Tz kuchukua mihogo na maharage bure kwasababu nyie ni mabahili, pesa mnazo for material things and not for the live of your people.
 
majanga ya mumba njaa.

hivi wewe una akili kweli wewe!!!
 
hili limwanamke jinga sana.

yaani kama wanawake wa kikenya wana akili fupi hivi ni tatizo.
 
majanga ya mumba njaa.

hivi wewe una akili kweli wewe!!!
Hahaha!!kwhyo unapinga km waturkana huteseka wakati wa drought pekee
Hapo huruki na ukweli ni tabia nchi haikwepeki km vile tz kila msimu wa mvua jangwani mamba lazima watie kambi hku na madaraja mengi ya barabara za kwenda mikoani kukatika na kufanya watu kusuburi baada ya mda kadhaa
 
Tena hiyo ndiyo nzuri kujua kwamba kuna msimu, maana yake ni kwamba unapata nafasi ya kujiandaa kudhibiti hilo tatizo, hebu chukua huu mfano; kaja rafiki yako na anakutaarifu kwamba kesho atakuja mwizi kuiba gari yako halafu kesho ikafika na mwizi akaiba gari huku wewe umepiga usingizi.---- nyinyi Wakenya mnajua kuwa kila mwaka mamilioni ya watu wenu hukakabiliwa na baa la njaa na baadhi ya watu hufariki kwa njaa sasa mnashindwaje kujiandaa kukabiliana na hilo baa wakati nguvu yenu ya uchumi ni kubwa (ya tatu in sub saharan), mnaweza kuhifadhi chakula cha kutosha kila mwaka kukabilina na hilo baa la njaa kwani pesa si mnayo!!!, lakini inaonyesha bado mmepiga usingizi kwa kuona uhai wa watu wenu hauna maana kuliko utajiri mnaoulimbikiza kuja kuringishia majirani zenu, shame on you.

Katika Burundi, Rwanda, Uganda, malawi, Zambia, Tz nk,nchi ambazo uchumi wao ni mdogo kuliko nyie huwezi kusikia Mamilioni ya watu wao hukumbwa na njaa na baadhi yao kufa kama ilivyo kwa Kenya.

Hapo bado tu mtakuja kutamba kwamba uchumi wenu ni mkubwa huku mnakufa njaa??!!.

Msimu wa njaa ukifika (mkuje) mje Tz kuchukua mihogo na maharage bure kwasababu nyie ni mabahili, pesa mnazo for material things and not for the live of your people.
Insha ya nn hii sasa, si muanze ku deal na jangwani kwanza km nyie ni watu wakujipanga na mna mbinu mbadala za kuepukana na tabia nchi..

Mbna madaraja kila leo hukatika na kuleta tafaruku kw wasafiri inaponyesha mvua hko bongo..
Mnajitia wajuaji na wakati ya kwenu yamewashinda kuyaganga, si juzi tu tayari jangwani dar kenge walikua kibao wanakatiza mjini kw full force..

Alafu bado nasubiria unieleze lini magufuli katoa chakula kati yale maghala yenu mnayojisifia na kuanza kuwagawia watu vyakula bure kule kagera
 
Sisi hatujajigamba kama nyie kwamba tunao uchumi mkubwa, uuchumi wetu ni mdogo kulinganisha na nyie.

Sisi tukishindwa kupambana na natural disaster ni excuse lakini ninyi mkishindwa ni uzembe na ujinga kwasababu Fedha mnayo.

Kwakuwa Magufuli hakupeleka msaada wa chakula kagera na nyie hampeleki kila mwaka misaada ya chakula kwa mamilioni ya watu wenu hadi wengine wanakufa licha ya kuwa na fedha nyingi??!!🤣

Tofauti ni hii; Magufuli hakupeleka chakula kagera na hakuna mtu aliyekufa kwasababu watu binafsi walitoa misaada nyinyi hampeleki chakula na watu wanakufa na hamfanyi harambee kwasababu mnazo roho ngumu na ukabila.
 
Msimu wenu wa kufa kwa njaa bado haujafika.

Nasema tena; kama uchumi hau reflect maisha ya watu hata ungekuwa ni uchumi wa kwanza duniani huo uchumi hautakuwa na maana yoyote. Ni uchumi for show.
Bado unatafuta vijisababu ili ujiliwaze tu! A feel good argument😂😂😂 mitanzania mizembe hadi kwenye mawazo! Nataka uweke hapa data ya kila mwaka for the last 5 years ya deaths kwasababu ya njaa Kenya.
Kwanza wale waturkana wengi wana utajiri kushinda an average Dar dweller. Fanya utafiti mwafaka. Kenya ni nchi ya kibepari (full capitalist) ni bidii ya mtu binafsi, kazi ya serilali nikuweka mikakati ya watu kujimudu na kwa hilo serilali imejaribu sana though not 100%, but by far ukilinganisha na Tanzania, ndio maana licha ya watu kujitia taabu wenyewe, world bank walitazama na kupata masikini wa kutupwa wamejazana Tz kwa wingi. La pili wengi wa watanzania hawana uwezo wa kupata mlo mzuri wa balanced diet ni kelele tu mnaongoza kwa utapia mlo inasababiash stunted growth na poor brain development, ndio maana majority of you cannot reason properly, jitazame unavyo argue humu, hauna uwezo wa kufikiria zaidi ya pua lako! Udhaifu wa kimawazo na fikra ndio inafanya mnaendelea kuongeza umasikini kote kote Tanzania licha ya rasilmali! 😂😂😂kwa sasa mumeipiku Ethiopia! Kijana jaribu sana kufikiria kabla ya kukurupuka, ni sifa tu za ki patriotism ndio inakusumbua, hauna point. Eti mnajidai mko na chakula! Gani? See your life😂😂😂
 
Hahaha!!kwhyo unapinga km waturkana huteseka wakati wa drought pekee
Hapo huruki na ukweli ni tabia nchi haikwepeki km vile tz kila msimu wa mvua jangwani mamba lazima watie kambi hku na madaraja mengi ya barabara za kwenda mikoani kukatika na kufanya watu kusuburi baada ya mda kadhaa

sasa mafuriko ya jangwani umesikia wapu mtz anasema ni majanga ya asili???

yaani kula mwaka kwa kipindi fulani unajua litatokea,halafu uite janga la asili likikukaba!!!

hapo hamwezi kwepa,nyinyi ni masikini mbwa,hakuna aibu mbaya hapa duniani kama kufa kwa njaa mwanamama.
 
Bado unatafuta vijisababu ili ujiliwaze tu! A feel good argument😂😂😂 mitanzania mizembe hadi kwenye mawazo! Nataka uweke hapa data ya kila mwaka for the last 5 years ya deaths kwasababu ya njaa Kenya.
Kwanza wale waturkana wengi wana utajiri kushinda an average Dar dweller. Fanya utafiti mwafaka. Kenya ni nchi ya kibepari (full capitalist) ni bidii ya mtu binafsi, kazi ya serilali nikuweka mikakati ya watu kujimudu na kwa hilo serilali imejaribu sana though not 100%, but by far ukilinganisha na Tanzania, ndio maana licha ya watu kujitia taabu wenyewe, world bank walitazama na kupata masikini wa kutupwa wamejazana Tz kwa wingi. La pili wengi wa watanzania hawana uwezo wa kupata mlo mzuri wa balanced diet ni kelele tu mnaongoza kwa utapia mlo inasababiash stunted growth na poor brain development, ndio maana majority of you cannot reason properly, jitazame unavyo argue humu, hauna uwezo wa kufikiria zaidi ya pua lako! Udhaifu wa kimawazo na fikra ndio inafanya mnaendelea kuongeza umasikini kote kote Tanzania licha ya rasilmali! 😂😂😂kwa sasa mumeipiku Ethiopia! Kijana jaribu sana kufikiria kabla ya kukurupuka, ni sifa tu za ki patriotism ndio inakusumbua, hauna point. Eti mnajidai mko na chakula! Gani? See your life😂😂😂

Nikuulize, Kwanza umekula na kushiba??!, umeandika kama mtu aliyekuwa na hangover ya njaa.

Hebu jiulize ni mimi ninayetoa au niliyetoa madai ya njaa huko kwenu kenya???, mimi nimenukuu habari hii from your own local media vikisema kwamba MAMILIONI ya wakenya hukumbwa na baa la njaa kila mwaka na makumi kadhaa hufa.

Sasa unakuwa berserk on me for what reason???, nenda kalaumu your local media kuhusu habari hiyo.

Juu ya yote ni serikali kuu ndiyo ya kulaumiwa kama njaa ikitokea nchini na hiyo ndiyo shida ya siasa za ubepari mnazozifuata kiasi kwamba mnashindwa kulisha watu wenu licha ya kuwa na Uchumi mzuri, capitalism is a curse.

Unadai bila ushahidi kwamba Watz hatuli Balanced diet, mimi ninaoushahidi kutoka Kenya media kwamba kila mwaka milions of kenyans are hunger stricken and some tens of them starve.

Sasa yupi bora kati ya yule anayekula unbalanced diet na yule anayekosa chakula kabisa na hata kufa KILA MWAKA???---- kwa akili yako mbovu ya Ki capitalism utasema bora anayekosa chakula na kufa.🤣🤣
 
sasa mafuriko ya jangwani umesikia wapu mtz anasema ni majanga ya asili???

yaani kula mwaka kwa kipindi fulani unajua litatokea,halafu uite janga la asili likikukaba!!!

hapo hamwezi kwepa,nyinyi ni masikini mbwa,hakuna aibu mbaya hapa duniani kama kufa kwa njaa mwanamama.
Leo wamekufa wangapi hao maskini
Unakasirika bure tu lkn ukweli ni kwamba drought haikwepeki na waka hakuna siku mtapewa hela bure, mwannchi ndio unatakiwa ujipange wala sio serekali..

Sio eti mda wa furaha unanunua silaha na unaipinga serekali vikali kuja kuwapokonya eti kisa wakipokonywa watauliwa na wenzao wa south sudan na ugana..

Lkn njaa inapotia kambi unajikuta hela zote umenunulia Ak47 pamoja na risasi zake..yani hapo wasipobadilika lazima iwapige tu kila mwaka
Labda unambie km hko huaga mnagawa vyakula bure kagera
 
Sisi hatujajigamba kama nyie kwamba tunao uchumi mkubwa, uuchumi wetu ni mdogo kulinganisha na nyie.

Sisi tukishindwa kupambana na natural disaster ni excuse lakini ninyi mkishindwa ni uzembe na ujinga kwasababu Fedha mnayo.

Kwakuwa Magufuli hakupeleka msaada wa chakula kagera na nyie hampeleki kila mwaka misaada ya chakula kwa mamilioni ya watu wenu hadi wengine wanakufa licha ya kuwa na fedha nyingi??!!

Tofauti ni hii; Magufuli hakupeleka chakula kagera na hakuna mtu aliyekufa kwasababu watu binafsi walitoa misaada nyinyi hampeleki chakula na watu wanakufa na hamfanyi harambee kwasababu mnazo roho ngumu na ukabila.
Kagera kdf walitinga wakakuta jwtz bado wanajipaka poda ndio waanze msafara..

Afadhali ukakubali km serekali haitoi msaada wa chakula manake magu hakuna siku na wala msitarajie km atagawa chakula bure..
Sasa mbona unataka kenya tuwagawie watu wetu bure

Hata sisi wanapokumbwa huaga kuna watu huwaletea msaada sio lazima serekali iwape chakula manake sio kazi yake hyo..
 
Leo wamekufa wangapi hao maskini
Unakasirika bure tu lkn ukweli ni kwamba drought haikwepeki na waka hakuna siku mtapewa hela bure, mwannchi ndio unatakiwa ujipange wala sio serekali..

Sio eti mda wa furaha unanunua silaha na unaipinga serekali vikali kuja kuwapokonya eti kisa wakipokonywa watauliwa na wenzao wa south sudan na ugana..

Lkn njaa inapotia kambi unajikuta hela zote umenunulia Ak47 pamoja na risasi zake..yani hapo wasipobadilika lazima iwapige tu kila mwaka
Labda unambie km hko huaga mnagawa vyakula bure kagera

hatujawahi kupewa chakula bure,sio serikali wala wananchi tokea mwaka 1988.

lakini kenya imechukua msaada wa mahindi kutoka UAE mwaka jana tu hapo.

na mnatuita wavivu,maana hamjui maana ya maneno ya kiswahili.
 
Back
Top Bottom