Unisamehe sana Triplets kwa kauli yangu hii, naomba nikutangazie kwamba tayari umepitwa na wakati.
Wandugu, kuna aina ya harusi ambazo hamzitaji hapa, zile za jamaa walioshindwa kukodi gari la 500,000. Kutokana na uwezo wao mdogo, walitumia magari maku-kuu ya ndugu wenye afadhali kiuchumi.
Mwezi uliopita niliona msafara wa maharusi wenye magari matatu, kati ya hayo mawili ni taxi.
.