bht
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 10,336
- 1,860
Yule wa kuoa kala hasara usawa huu.
mbona unamsemea??
Yule wa kuoa kala hasara usawa huu.
Mh naona bado ni mulemule tu.......bora ungeniambia unamsaidia mgonjwa!!For sure mimi sichangii harusi hata siku moja, msiba natoa chochote nilicho nacho hata kama nabaki sina kitu.
Joyce
Ebu tujaribu kitu kimoja: kwanza kukutana na kufahamiana ili hata tunapowasiliana tunajuana. Pili tuweke mkakai wa kuanza michango hata kama ni kufungua akaunti tukamtafuta mhasibu kwa kufanya mahesabu yaende. Kila mwanachama atapropose kiawango gani tuanze nacho kutunisha mfuko wa msaada uone kama hatusaidii watu.
Joyce
Unisamehe sana Triplets kwa kauli yangu hii, naomba nikutangazie kwamba tayari umepitwa na wakati.
Wandugu, kuna aina ya harusi ambazo hamzitaji hapa, zile za jamaa walioshindwa kukodi gari la 500,000. Kutokana na uwezo wao mdogo, walitumia magari maku-kuu ya ndugu wenye afadhali kiuchumi.
Mwezi uliopita niliona msafara wa maharusi wenye magari matatu, kati ya hayo mawili ni taxi.
.
Teh teh teh! pretty bana,inabidi ubadilike.Inawezekana umejitosheleza kwa kila kitu but think of the needy people around you!especially your relatives.
MOD,
thanks for upgrading my status right now here in JF.