Unajua nondo tani ngapi,zege mita za ujazo Ni ngapi unajua. Ukishajua thamani za vifaa ivyo Basi nadhani Mambo mengine utaweza jua. Ama chukua eneo la nyumba zidisha kwa 700k-1000k.
Kama Ni nyumba ya kawaida chukua labda eneo lake ni 80 mita za eneo zidisha kwa 1000k , unapata 80M,iyo Ni ground floor na kwa first floor unafanya Ivyo ivyo