Kwa kutumia picha huwezi kupata makadilio mazuri chief, utapata makadilio ya kubashiri tu kama ulivyoona watu wengi wamebashiri tofauti tofauti kulingana na mtazamo wa namna wanavyoona picha
Ungekua na vipimo angalau vya urefu na upana ni rahisi kidogo kupata makadilio yanayokaribia uhalisia