How Mbowe Hotels fixed NHC

How Mbowe Hotels fixed NHC

Mh. Mbowe ni muongo wa karne. Hivi alivyosema ni siasa alitaka aonewe huruma?? Je anataka wananchi waandamane kwa ajili ya hotel?
Nadhani tungojee Uamuzi wa mahakama kujua nani mwongo
 
Dah, mkuu ni madogo kudaiwa?
ni madogo kwasababu kesi za madai hazina hukumu ya kunyongwa mpaka kufa kama ile ya afande bageni.kiufupi kwenda jela kwa kesi ya madai kwa mahakama za kibongo ni kujitakia.
 
Back
Top Bottom