How many used this?

Mafuta mazuri kwa chapati yanafanya ziwe na ladha nzuri.
 
Umenikumbusha Mbali sana, Mbuzi.
 
duuuh, longitaimu kweli hii kitu
 
Yakikaangia nyama hayo, inanukia dunia nzima!
Siku hizi super ghee ndo replacement yake.
 
Tulivyo kuwa wadogo tulikuwa tunafikiria wanawake wa kisomali wanaweka hayo mafuta kwenye chai
Ndiyo maana wanakuwa wanene sana.Utoto raha.
 
Ndiyo, nimetumia sana bafuni. Toilet ndiyo usiseme. Dah!
 
Tulivyo kuwa wadogo tulikuwa tunafikiria wanawake wa kisomali wanaweka hayo mafuta kwenye chai
Ndiyo maana wanakuwa wanene sana.Utoto raha.

Wanakandia makalio ili yashehene
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…