Lakini mtu mmoja utapendapendaje hivo hao zaidi ya 10 ni lovers au mlikuwa mnaplay tu sex ? Hata sielewi mimi ni mgumu kupenda!
Mtu unaweza kuwa amesex na watu 100 but lovers ni wawili au imekaaje wadau?

kweli alikuwa anamega tu?maana yake kati ya 100 amewahi kudondoka kimapenzi kwa wawili tu....98 waliobakia ni kula gudtime, kubadilisha experience na kuliwazana aka kupunguza protini tu
Inategemea...situation zinatofautiana kati ya mtu na mtu. Mwingine anaweza kubahatika akawa na mtu na kila mmoja wao akawa ameoza na mwenzake labda tangu walipoyafahamu mapenzi hivyo hawa unaweza kukuta idadi ya wapenzi wao ni ndogo sana na mwingine ambaye hakubahatika labda anatemwa kila baada ya muda mfupi au haridhiki na yule aliyekuwa naye basi anaweza kupanga msururu na mbele ya jamii akaonekana ni malaya/player. Hapa sizungumzii wale wanaopenda kujirusha huku na kule kwa raha zao.
Im still having my first love. I hope he is not dying anytime soon coz i aint going no where.
Kuna mtu amenionea Paw wangu, ugali unapoa.
kweli alikuwa anamega tu?
Kuna watu wamekula k? Daah ingekuwa nanii yake inasoma unit ishablock siku nyingi
Mi still counting...............
Still dowloading..................