Tumejawa ubinafsi.Shida ya nchi yetu ni kwamba hatuna national agenda! Kama JPM ali transform uchumi wetu na akafa kabla hajafika alipotaka nchi iwe kwa nini walioshika wasiendeleze mazuri yake na kwa pace ileile?
Wahuni wanatunga uongo Kama waliomtungia Lowassa kuwa ni fisadi.Sasa wanatunga uongo kuwa JPM alipiga hela.Kama alipiga pesa ,je aliweka benki gani?Hii ni video imeandaliwa na mabeberu kwa hiari yao na kwa gharama zao wakielezea namna Hayati Magufuli alivyobadilisha uchumi wa Tanzania kufikia kumi bora Afrika na kuwa na hadhi ya uchumi wa kati ndani ya miaka...
AtakAe simama na sera za Magufuli 2025 ndie Rais.Hii ni video imeandaliwa na mabeberu kwa hiari yao na kwa gharama zao wakielezea namna Hayati Magufuli alivyobadilisha uchumi wa Tanzania kufikia kumi bora Afrika na kuwa na hadhi ya uchumi wa kati ndani ya miaka 5 badala ya miaka 10 tuliyokuwa tumepangiwa na haohao mabeberu.
Video hii inathibitisha shombo za kina Mbowe,Zito, Lisu, Lema hazikumtikisa Magufuli akiwa hai na hazitaweza kumtikisa akiwa mauti.
Yule ni mdini,mnafiki.Zito kabwe atajinyonga akiona hii video
Bila tusi huwezi kutoa hoja ikaeleweka!?Stupid.
GDP ilishuka toka 7% hadi 3.8% wakati wa Magufuli.
Na revelations za grand corruption wewe ngojea upupu utakao kujia.
Unaweza kuweka ushahidi wa tusi moja tu alilotukanwa? Tatizo mkiambiwa ukweli mnadai mmetukanwa. Mfano mtu akisema Jiwe alikuwa muuaji nyie mnadai hilo ni tusi wakati ndiyo ukweli wenyeweWapinzani wa Magufuri wameshindwa kazi,ndio maana wamekondisha watu kwenye mitandao wamwandike vibaya,ila nao wameshindwa,kwasababu wanaowatetea wako hand pafomanc.Magufuri kama ulikuwa sio fisadi au vyeti feki au mvivu hauwezi kumtukana Magufuri.
Acha kutumia wingi, sema baba wa wanyonge na Sukuma gang. Hili Taifa siyo kila mtu ni mnyonge au sukuma gang. Heshimu wenzako tafadhaliMagufuli ni baba wa uchumi wa taifa letu.
Pesa apige yeye wewe uulize wengine kuwa kaweka bank gani? Kwani aliwaambia bank aliyoenda kuweka?Wanatunga uongo wakimtumia GA
Wahuni wanatunga uongo Kama waliomtungia Lowassa kuwa ni fisadi.Sasa wanatunga uongo kuwa JPM alipiga hela.Kama alipiga pesa ,je aliweka benki gani?
Pesa zipo kwenye miradi ,ya barabara,majengo ,fly over ,masoko ,n.k .Na pia pesa ziliinua uchumi kuwa wa kati.Tunasubiri mama atupeleke uchumi wa wakati.
Nimeomba uweke tusi moja tu lakini naona unakimbilia ishu nyingine. Weka tusi moja hapaUkweli uko wapi? Mbona mabeberu yanayowalea huko ubelgiji ndiyo yanamsifia Magufuli
He was a killerHii ni video imeandaliwa na mabeberu kwa hiari yao na kwa gharama zao wakielezea namna Hayati Magufuli alivyobadilisha uchumi wa Tanzania kufikia kumi bora Afrika na kuwa na hadhi ya uchumi wa kati ndani ya miaka 5 badala ya miaka 10 tuliyokuwa tumepangiwa na haohao mabeberu.
Video hii inathibitisha shombo za kina Mbowe,Zito, Lisu, Lema hazikumtikisa Magufuli akiwa hai na hazitaweza kumtikisa akiwa mauti.
Mkuu sukuma gang watadai/sema umemtukana Jiwe. Jamaa hawapendi kabisa kusikia ukweli.He was a killer
Hao wanyonge na sukuma gang ni singular au plural?Acha kutumia wingi, sema baba wa wanyonge na Sukuma gang. Hili Taifa siyo kila mtu ni mnyonge au sukuma gang. Heshimu wenzako tafadhali