siku iyo iyo noma
ata aujamjua fresh jaman?
kimuda kidogo kipite si chn ya miezi miwiliiv ...ili upate muda kwa kuchunguza vtyemma isije ukampa na kesho ukagundua ana mademu kuimi ana wake wa4...haaaaaaaa ukienda kwa mwngine ukampa fasta pi autakuta da smae stor ...mwsho wa sisku utaonekana kichehche .......da best issue z kujipa tyme.......me ,maself n i .si chini ya miezi 6 ndo apate ruksa ya ku.......!!!!!!!!!!!!!umakini babuweeeeeeeee waitajika bila ivyo..mmh itakuwa for public use!!!!!!!!!!!!!!