How long to wait?...

Hommie kakague miedu ze nidiful kwa kujali maslahi, ila hapa kuna watu watajifanya hawana macho... wanasahau kuwa maisha sio MAGUMU ila kazi ndo NGUMU na mwanaume lazima ugangamale!

Hehehe! Dah hii misemo yako bana! Imenikumbusha enzi nikiwa Ujamaa sekandari skuli fom foo B. Wakati huo ukiwa fom foo unakuwa kama Magufuli! Kwenye mila ndo usiseme!
 
Yeah! Mimi sasa nimeamua kuingia kwenye google kabisa ili nitafute vizuri!
hahaaaaa
ni nini shida, viwango au masharti magumu?? maana naona zinauliziwa za kitunda sasa
 
hahaaaaa
ni nini shida, viwango au masharti magumu?? maana naona zinauliziwa za kitunda sasa

Hahahaha duh Kitunda tena? Nilikuwa huko two weeks ago, kwa hiyo this weekend ni Mkuranga!

BTW Kaizer mtungi wetu wa maji ya kunywa njiani huo hapo kwenye picha!
 
Attachments

  • heineken.bmp
    695.7 KB · Views: 36
Hahahaha duh Kitunda tena? Nilikuwa huko two weeks ago, kwa hiyo this weekend ni Mkuranga!

BTW Kaizer mtungi wetu wa maji ya kunywa njiani huo hapo kwenye picha!

hahaaa for the same mission?? ulikuwa guest gani??

ona sasa unamtia kiu B wangu na hizo chupa za sisiem!!!!
 
hahaaa for the same mission?? ulikuwa guest gani??

ona sasa unamtia kiu B wangu na hizo chupa za sisiem!!!!

Nilikwenda kutafuta kiwanja cha kujenga shule ya bweni ya chekechea na msingi.....!! Kama kulikuwa na mambo ya gesti basi hilo lilikuwa ni yatokanayo na haikuwa agenda kuu!

Hata Mkuranga ni hivyo hivyo! Gesti ni yatokanayo!
 
hahaaa leo unachomoka duh!!!

lakini umesema hutalala mwenyewe vinginevyo bora ubaki Mzalendo ukila mishikaki.....
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…