How JK snubbed Kagame


Mfano mmoja hai ni kwamba wakati leo sisi hatuna ndege wala shirika la ndege la taifa, Rwanda wana shirika linalokuwa lenye Boeing 737 nne zikiwemo mbili ambazo ni toleo la sasa hivi na Rwandair ndilo shirika la kwanza Afrika kuwa na ndege hizo ambazo hawajazikodi bali wamezinunua mpya kabisa. Wana Boeing 737 nyingine tena mbili pamoja na Dash 8 moja na ndege nyingine aina ya CRJ ambayo wanakusudia kuibadilisha na kupata bora zaidi.
Hii ni nyanja moja tu, tujiulize sisi tuko wapi na tunaelekea wapi?
 
Hapa ulitegemea nini? Mzalendo na mhujumu uchumi kamwe hawawezi kuelewana.
Kama ni kweli basi JK ni nafsi yake inamsuta kwa uovu anaousimamia hapa kwetu! Kagame has nothin' to lose, Kigali inapeta, shame upon him.
 
safi sana mkuu, nilianzisha thread ya faida na hasara za mfumo wa majimbo huko jamii intelligence sema mkuu inisible anabana.
 
Nafikiri kati ya rasilimali ambayo wengi wetu tunaipuuzia na ambayo ni mtaji na silaha nzuri katika mafanikio yoyote, ni rasilimali AKILI. Using it correctly, yo're rich!!!!!!!!
 
Msidanganywe na cosmetic changes, Rwanda ni kama ki mkoa kimoja cha Tanzania na bado wana matatizo kibao pamoja na udikteta na umaskini uliokithiri.

acha uongo wewe! Mbona burundi na niger ni ndogo zaidi ya rwanda na wananchi wake wanaogelea kwenye umaskini wa kutupwa?brazil na mara mbili yetu mbona wanatuzidi kimaendeleo kama swala la ukubwa lina umuhimu? Acha ghiliba.
 
Msidanganywe na cosmetic changes, Rwanda ni kama ki mkoa kimoja cha Tanzania na bado wana matatizo kibao pamoja na udikteta na umaskini uliokithiri.

Make it no mind, jest another Boflo speaking his tiny mind out.
 
Mkuu nirahisi sana kufikiria serikali ya Majimbo kama ingekuwa hatuna Muungano. Ni rahisi sana kwa Mbara kufikiria hivyo lakini ukimwambia Mzanzibar yetote hatakubaliana na hili hata kidogo kwa sababu bado tunawapangia wao kuwa kama Jimbo vile jambo ambalo hawakubaliani nalo. Hivyo hata Ushauri wako wa kuwa na serikali yao, ndivyo hivyo hivyo utakavyofanya ukianzisha majimbo maana hayo majimbo yatakuwa na serikali zao sawa na ile ya Zanzibar unless tutengane kabisaa.

Binafsi yangu sioni uwezekano wa kuunda majimbo wakati tunashindwa Zanzibar isimame wapi na tofauti ni zipi kwa sababu ukiyasoma madai yao wanataka ichukuliwe Tanzania kama ni Taifa la nchi mbili zilizoungana na sii Zanzibar sehemu ilomezwa na Muungano na kuwa mkoa au jimbo. Kusema kweli sioni ndani kabisa jinsi gani tunaweza unda majimbo halafu Zanzibar nao wakawa sawa na jimbo wakati hii ni nchi tuloungana nayo.

Ushauri wangu ni kuwepo na serikali Tatu kama ulivyosema, kisha serikali ya bara tunapeleka madaraka mikoani ambayo haina tofauti sana na majimbo na bila kuwahusisha Zanzibar. Kila mkoa ujitegemee kwa kiasi kikubwa zaidi ya kutegemea serikali kuu. Serikali kuu ita deal na nchi hizi mbili kiutawala basi...Kila mkoa utakuwa na uchaguzi wa viongozi wake toka mkuu wa mkoa, wilaya, halmshauri, wabunge wawakilishi ktk bunge la Bara na mabaraza yake, halafu tutakuwa na Bunge la Muungano, na senetors ambao watatuwakilisha kama Taifa. Muundo wa serikali ya Zanzibar sidhani kama inatuhusu kuwalazimisha kuwa jimbo wakati sivyo..
 
Ukweli suala la majimbo na kuwa na federal government ndio njia. kuna watu ambao bado wao wanaona maisha ni starehe hawa itabidi wabakie kidogo wakicheza. Wanaoelewa wataondoka na kuweka mambo vizuri, nchi ni kubwa ina raslimali chekwa ina watu wenye akili wengi japo wafuatao upepo pia wapo. (Wakielimishwa naamini wataamka) Kagame amesema kweli na siku zote ninaheshimu watu ambao wanaona kwa macho ya visionary sio halucination.
 
It would be prudent for us all to research on issues before we submit fiery cooment that when taken on their face value will mislead and in the process undervalue the credebility of the brains making the JF.
Dont we have a JF member versed with Protocols on this matter to settle this matter once and for all?
We could then start a thread on the achievements of the two JK and PK.
 
Hapo naona arrogant ni Kikwete. Pia, itifaki za Kimataifa huwezi kuzichezea kwa wivu wivu wa kike kama huo. Kama hayo maneno aliyasema kweli Kagame, ingebidi JK naye amrudishie kwa kujivunia mafanikio ya Tanzania au, kwa kuonesha mapungufu ya uongozi wa Kagame!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…