How I was conned by a mzungu lady

Ikishaingizwa issue za mbesai mbesai nakuwaga na machale machale sana,ila ndio ukubwa huo mkuu
 
pole chief
 
Utapeli wa kizamani!
Aina hii ya utapeli kwa hapa bongo karibu itapitwa na wakati.
Ilikuwa siku za nyuma, kwa sasa Ni ngumu kidogo mtu atume pesa kirahisi hivyo kwa mtu asiyemfahamu kabisa.

Wabongo kuwatapeli sio rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…