Dah! mkuu, mbona nakuona umefulia tu mkulu, au ndy chaneli ilikata?
Halafu unagongea kwa washkaji wakupe elfu 50 ili uwape siri ya pesa?!!!! mwe! KAAZ KWELLI KWELI!
Hizi scam naona sasa zimehamia bongo nikupe jina langu email yangu ili ukaniibie benki hujanipata bado. Kama kazi yake unatengeneza hizo pesa tangaza watu waaply tutume CVs zetu sio kutaka Identity zetu wakati wewe hatukujui . Hizi scam waungwana angalieni msije kulizwa mkalalamika
ha ha ha ha! kwi! kwi! kwi! kaka bora umemwambia ukweli, manake haya ndio mambo ya mtu anakwambia anataka akupe kazi lakini ili akufanyie interview anataka ulimpe kwanza laki moja aagh! wizi mtupu!
ha ha ha ha! kwi! kwi! kwi! kaka bora umemwambia ukweli, manake haya ndio mambo ya mtu anakwambia anataka akupe kazi lakini ili akufanyie interview anataka ulimpe kwanza laki moja aagh! wizi mtupu!
Join Date: Mon Nov 2010
Posts: 8
Thanks: 0
Thanked 1 Time in 1 Post
Yaani kajiunga JF ili atambulishe huo upupu wake halafu apotee! watu wengine bwana, sijui kakutana na wapopo (wanaijeria) ndio wamemfundisha huo ujinga sasa anataka kufanya experiment kwa great thinkers, anajua akifanikiwa hapa basi atakula vichwa vya wajinga wengi....my broda am veri sori for you, it won't work!