How I became a Freemason: The boss speaks out

Kwa mujibu wa Albert Pike katika morals and dogma of ancient and accepted Scottish rite Anadai Freemason sio kitu Bali ni muunganiko wa symbol na Kabbala science
Sasa ukiangalia Kabbala utakuta kuna vitu vingi vinashare na dini hizi kubwa
Nature ya Kabbala ni waisrael na nature ya ukristo ni waisrael so means roots za biblia zinalie katika Kabbala pia hata katika uislamu kuna vitu vinashare na Kabbala
Mfano kuna kitabu kinaitwa "khazinatu asrarulkubra" ni cha kiarabu kinaeleza dua mbali mbali ukiangalia vizuri Hiko kitabu utaona hakuna tofauti na Kabbala
So tukiangalia vizuri inawezekana Hawa mason wapo practical zaid ya dini zilizozoeleka
 
Kwa mujibu wa Sir Andy Chande (sio ktk makala hii), kiongozi pekee wa ngazi ya juu kabisa wa nchi yetu ambae hakuwa Masonic ni JK Nyerere tu, the rest wote ni members
 
Kwa mujibu wa Sir Andy Chande (sio ktk makala hii), kiongozi pekee wa ngazi ya juu kabisa wa nchi yetu ambae hakuwa Masonic ni JK Nyerere tu, the rest wote ni members

Ni lazima uwe member?
 
Back
Top Bottom