Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,679
- 5,165
Hiyo title kiEnglish hakijakaa sawa.Katika kila maisha ya binadamu kuna mambo mengi yanatokea ambayo yatamfanya mwanadamu abwage manyanga kwenye kufikiri mfano kutafuta asili ya jambo mfano wa kiumbe!!zipo nadharia nyingi zimeanzishwa ili kuendeleza ugunduzi wa misingi ya mambo haya tata katika asili yamambo mfano mkubwa asili ya binadamu kuna akina LAMARKISM THEORIES(mtanisamehe kama nimekosea),DARWISM THEORIES na CREATION THEORIES zinaposhindwa theories nyingi tunaangukia theory ya creation.Hivi ndugu zangu tujadili mustakabali wa ustawi wetu katika dunia kwa namna tujuavyo ili kubadilishana mawazo. Binafsi nipo upande wa creation theorie lakin kweny nukta ya science state of nature lazima uhusike yaan kama ilivyo awali binadamu alitumia mabavu kuleta ustaarabu(kuorganise) basi hata kusambaratika kwake itakuwa hivyo.
chenye mwanzo mwisho ni lazima.Dunia haina mwisho balo viumbe hai ndio wana mwisho.
hapanaKifo chako Ndyo mwisho wa dunia
how does world get to the end?not human apo nimetolea mfn wa theories 2.Msichanganye Kuna dunia na Kuna nyinyi!..
Dunia ni hii sayari tunayokaa ndimo tunafanyia maisha yetu,dunia inategemea jua na ipo siku jua litakwisha gesi zake zinazoungua so supernova will take it's action!.. hili litafanyika miaka billion 4 zijazo!.
Mpaka hapo huenda binadamu akawa ameshaondoka kwenye hii sayari nakwenda kuendeleza maisha kwenye solar system nyengine!. So Kuna dunia kufikia mwisho wake na Kuna binadamu kuendelea kuwa hai so which is the end your trying to explain...?
Hatutaelewana hapa mi nachojua huwezi zungumzia dunia pasipo kumtaja kiumbe binadamu hususani kuzungumzia mwisho wa dunia!how does world get to the end?not human apo nimetolea mfn wa theories 2.
The world will never end instead will be transformed into another shapeKatika kila maisha ya binadamu kuna mambo mengi yanatokea ambayo yatamfanya mwanadamu abwage manyanga kwenye kufikiri mfano kutafuta asili ya jambo mfano wa kiumbe!!zipo nadharia nyingi zimeanzishwa ili kuendeleza ugunduzi wa misingi ya mambo haya tata katika asili yamambo mfano mkubwa asili ya binadamu kuna akina LAMARKISM THEORIES(mtanisamehe kama nimekosea),DARWISM THEORIES na CREATION THEORIES zinaposhindwa theories nyingi tunaangukia theory ya creation.
Hivi ndugu zangu tujadili mustakabali wa ustawi wetu katika dunia kwa namna tujuavyo ili kubadilishana mawazo. Binafsi nipo upande wa creation theorie lakin kweny nukta ya science state of nature lazima uhusike yaan kama ilivyo awali binadamu alitumia mabavu kuleta ustaarabu(kuorganise) basi hata kusambaratika kwake itakuwa hivyo.