How does it sound to your ears that most of the world’s richest men and women were school drop outs?

Umenena mkuu tukiongea ukweli tusiwaige hawa watu wa marekani aisee tutapotea

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
nafikiri walikuwa na elements za entrepreneurship ndo maana wakaachana na shule
 
nafikiri walikuwa na elements za entrepreneurship ndo maana wakaachana na shule

walipofeli waliaamua kutafuta alternative ya maisha wakajikuta wanauza mkaa mara duka mara bureau de change mara ndo hivyo tena!
 
walipofeli waliaamua kutafuta alternative ya maisha wakajikuta wanauza mkaa mara duka mara bureau de change mara ndo hivyo tena!

sometimes kufeli ni kuzuri maana akili inakukaa sawa na unaweza ukatoka fasta kuliko wale waliokomaa na shule.
 
Hao watu ni vichwa hata ukijaribu kuangalia hivyo vyuo walivyo-drop baadhi ndio top institutes..
 
Nadhani hii topic ni nzuri, despite the facts kwamba kuna factors ambazo wengi mmezignore. Kuwatumia watu kama Michael Dell, Steve Job, Bill Gates au mark zuckerberg kwamba sababu wao wameacha shule basi school model doesn't work, nadhani hapo tutakuwa tunamanipulate data. Lakini nini tunaweza kusema? Hawa wote walikuwa na kitu kimmoja in common walikuwa na scarcity products ambazo zilikuwa needed at their time, kwa wao kuendelea kusoma pale Harvard au University of Texas ingekuwa ni sawa na kupoteza bahati ambayo inakuja once in million years.

Lakini kumbuka hawa sio mazuzu, these are elites, top people in their class, high understand of Global na mengine mengi. Kama wewe ni school drop out usie na uweleo hata wa kuajiri top notch people who are well educated then your business will collapse, angalia Bill Gate alikuwa na nani kwenye team yake mwanzoni? Walikwenda kuajiri top notch people ambao wanajua business strategies. Angalia mark zuckerberg amemuajiri nani kuwa COO Sherly Sandberg (Economist/MBA) kutoka Harvard, what does Sherly knows about computer? May be nothing, but what does she know about business everything. That is how it works.

Let me tell you how American business works, hizi Start-up aka small business who want to be big always zinataka Mkopo, na mtoa mkubwa mkopo wa hizi high risk, high failure business ni Venture capitalist, maarufu kama VC au angles investors. Na hawa jamaa ni brutal in strategy, they cares about numbers na sio yale yale.. You can't even talk to them kama hujui unachongea.

Mwisho, behind all this drop-out world changer mind, kuna very smart top notch people. Now sijasema kwamba kuna MBA/MSA/PHD no. but i said high educated people, this doesn't mean masters and masters and masters.

Now nije Tanzania. What we have in Tanzania is catastrophe ya degree ambazo hazisaidii kitu, bure zero. I denied kusoma masters sababu tuu I don't see how masters degree zilizojaa Dar zimewasaidia nini Watanzania. Tanzania computer science graduate anashindwa kutengeneza program ambazo zitaungaunisha wakulima kupata price quote ya mazao kutoka dar kwa kutumia sms, au bei ya usafiri kutoka Mwanza kwenda Dar kwa kutumia sms. This are simple programming language ambazo in the West mtoto wa High School anaaandika. In short Tanzania graduate ni msiba unless tubadilishe methodology ya ufundishaji. Mtu amesoma mechanical engineer anashindwa kudesign hata conveyor belt ambayo inaweza kuleta mapinduzi.

Mnabaki kulalamika, oooh resources, ooh this, entreprenuer anachofanya ni kuangalia muda alikuwepo, resource alizokuwa nazo, na needed za wateja wake, then anakuja na product ambayo itafit hiyo market yake under competitive cost. That is how people like Bakhresa did, wanajua Africa kuna 1 Billion people, wote need kula three times a day, so unachofanya ni kudeliver product for this people. Akaajiri top notch people ona Azam leo. Mengi ni Muhasibu, he knows the Balance sheet. Kama hujui the Balance Sheet i dont care what you want to do, be ready to hit the wall. Unless ajili washauri.

Simple.

Mkuu umemaliza..
 
ukisema swatu waliosoma unakosea concept unajua hata hao waliosoma wanasoma mkusanyiko wa maarifa toka kwa watu ambao hawakusoma sana au umesahau mgunduzi wa umeme,umesahau akina wright wagunduzi wa ndege,umemsahau Nobel mwanzilishi wa tuzo ya Nobel na mgunduzi wa baruti,je umemsahau Ford mutu aliyekuiwa mtengeneza magari makubwa duniani.Conclusion you dont need university degree kuwa Rich person sisi magraduate unaweza kuangalia nyuma wale watu uliowaacha nyuma je ni nini unatofautiana nao.
 
Back
Top Bottom