How does iCloud Work

Buswelu

JF-Expert Member
Aug 16, 2007
1,998
352
Habari Wakuu


Kuna hii technology yaitwa iCloud na sasa imekuwa kwa kazi ni uwezo wa kuhifadhi habari zako kwenye anga.

Tunaweza kufahamishana how does it work...Kwa mfano nimedownload movie zangu, nimehamisha movies zangu from pc nikaweka uko au kama inawezekana kutoa movie from pc to iCould...

Pili je hii iCloud naweza access hizi habari zangu sehemu ambayo hakuna internet? kama kuangalia picha zangu,movie etc?

Kama kuna mengine twaweza share pls

Regards
Buswelu
 
iCloud nyingi zinakuwa na software zake ambazo unainstall kwenye PC. Ukiifungu unaweza kutengeneza mafolder yako mle tayari kwa kuweka data zako. Lakini pia unaweza ukacut au copy mafail au mafolder na kuyaweka ndani ya folder la hiyo program. Ukiwa umeshajirejista, ukiwa kwenye mtandao kunakuwa automatic syncronisation. Hapa inatengenezwa copy ya mafaili au folders kwenye mtandao. Haya mafaili ya kwenye mtandao utakuwa unauwezo wa kuya access sehemu yeyote ile kwa njia ya mtandao. Yale yaliyo ndani ya syncronisation folder kwenye PC utakuwa unaya access pasipo na mtandao, huhitaji mtandao na unaweza kuyatumia kadri utakavyo.
 
Back
Top Bottom