How do you sleep....?

Hapo inategemea na hali ya hewa! Kama shwari, poa. Kama namna gani, unaishia no 2
 
I sleep naked and make no apology,I love it,my girl loves it, its comfortable and i am told its healthy too.
 
Huwa cpendi kujibanabana,
Hvyo No 4 inanihusu.
 
Mi na Beibe lifoo ndo mpango mzima bwanaa! Hizo 1, 2 , 3 tupa kulee! ni sawa na kufa na kiu baharini ! Utachekesha !
 
mi wanaolalaga ki no moja wananshangaza sana.....hivi huwa hawawashwi.......?

Me nahisi watakuwa ni zile dizaini za kujiandaa na talaka.
Hakuna kugusana wala kusogeleana time yoyote mda wowote mnakurupushana.
 
Mi na Beibe lifoo ndo mpango mzima bwanaa! Hizo 1, 2 , 3 tupa kulee! ni sawa na kufa na kiu baharini ! Utachekesha !

hiyo namba moja lazima yatakuwa mapigo ya Boflo.....
 
Last edited by a moderator:
Me nahisi watakuwa ni zile dizaini za kujiandaa na talaka.
Hakuna kugusana wala kusogeleana time yoyote mda wowote mnakurupushana.

wayiii.....ninavyopenda hewa jamani.....
 
wayiii.....ninavyopenda hewa jamani.....

Yani mamito kusema ule ukweli,hewa ni muhimu sana.
Mchana kutwa umejibana na nguo,basi angalau usiku jiachie mwili u-relax!!
Yani me hata nikienda Msibani No.4 inanihusu iwapo nitapewa kitanda.
 
mbona sio anayesema 3 inamhusu?hivi nikweli hakuna anayehusika na 3 leo?MENTION Mdame 2MENTION chami
 
Preta mi sisemi coz unanijua huwa najiachia na style gani hope ni kama yako coz zamani nilikuwa napenda namba 1 ila tangu nikupate nimehamia kwenye namba zako kwa raha zetu
 
Last edited by a moderator:
Yani mamito kusema ule ukweli,hewa ni muhimu sana.
Mchana kutwa umejibana na nguo,basi angalau usiku jiachie mwili u-relax!!
Yani me hata nikienda Msibani No.4 inanihusu iwapo nitapewa kitanda.
Madame B hapo utajikuta washakupopobawa ooohh look very ma dia
 
Last edited by a moderator:
Erickb52,
yani hayo makitu ya No.4 yana utamu wake,ila ngoja lije fumanizi.
Ila msibani bhana kunakuaga na vituko sana.
Sana aisee
Kuna mwaka tulikuwa msibani sasa kuna jamaa akawa na simu yake ya kichina akawa anaogopa kuibiwa akaamua kuiweka kwenye chupi(Kule maeneo) then akalala....!
Baadae kama saa saba wakati tushalala simu si ikaanza kuita na ilikuwa na vibration kubwa Lol
Jamaa kasahau kama ni simu wacha aamke kwa kuruka huku akipiga kelele dah ilikuwa aibu sana na kila nikikumbuka huwa nacheka sana Madame B coz ilikuwa kituko kweli
Watu wote waliamka kwa kuwa alipiga kelele za ukweli tukakurupuka kukimbia dah we acha tu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…