How do you know someone loves you?

How do u knw someone hate u ? Ukishajua utapata jibu kirahisi.
 
endapo utamwambia it's over alafu yeye aseme ntakufa na wewe au ama zako au zangu kama nilivyoambiwa
 
Hii lugha tuacheni utani jamani...Ina wenyewe hii!....huh!
Mimi ningekuwa wa aina yako ningeandika kiswahili, bora lawama kuliko fedheha.

Kaka kuna thread aliianzisha Bishanga...hahahahaaa itakugusa kwa hapa...hebu tembelea CHIT CHAT uione yenye title "NINI KINAKUKERA JF?"
Otherwise uko sawa
 
Jifunike naye shuka moja halafu toa kijambo cha uhakika ukimuona katoa pua yake nje tu basi ujue huyo hakupendi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom