How do you handle break up?

Aaah!yashanitokea kitendo cha moyo kutaka chomoka kabxa,ila as time goes nkajajiona tu nlikuwa namtesekea bure,kwanz inatakiwa uanze kumuwaza negative kwa kile alichokuwa anakifanya,pili futa kumbukumbu zoote zinazohusiana nae,mfano #za sim,picha na hata wimbo alioshare na ww,sure nakuambia mwez hautaisha,utamsahau totally
 
Hapo kwenye namba mkuu ni pagumu kama ushaikariri
 
How do I handle breaking up?

Don't date at all, hang out with a woman with same interests as you (sex, flirting, going out) no commitment or strings attached.. You'll be friends with benefits, you'll never break up with her because you never dated
 
We hujaumia kuachwa,kinachokuliza ni kupigwa mtoso ukiwa hutarajii ko unajihic looser
 
I do not give a shit about anyone or anything.Except when it is gone.THATs ME.

Sasa kama hau give a shit about anything, si usi give a shit hata kwa hili? What is gone is gone.. infact hakuna kitu kigumu na cha kijinga kama kung'ang'ana kumrudisha mpenzi aliekuacha. The more you try the more you look like a desperate pussy na ndio unazidi kujishushia hadhi anakuona kituko.

Hizo nguvu unazotaka kutumia kwa huyo aliekuacha ukizielekeza kwenye kutafuta mabinti wengine wazuri utawala wengi sana mpaka utamsahau huyo.
 
Man,I have just moved on.I am now riding a new chick with passion.BUT BREAK UP HURTS
 
Man,I have just moved on.I am now riding a new chick with passion.BUT BREAK UP HURTS
Excellent..! Always breakup ina hurt zaidi kama huna other plans. Ukishakua na project zako kadhaa kwenye pipeline, breakup ita hurt kiasi lakini kwavile unaponea kwingine in no time unakua umeshasahau. Na unakua hulii lii sana na kubembeleza kiboya.
 
Mkuu dawa ya kuachwa ni kuacha. Just accept the reality, forget her and move on. Tafuta mpenzi mwingine anayekufaa, ukimpata muheshimu na utulie.
 
Mkuu dawa ya kuachwa ni kuacha. Just accept the reality, forget her and move on. Tafuta mpenzi mwingine anayekufaa, ukimpata muheshimu na utulie.
Na safari hii asirudie kosa la kuwa na mpenzi mmoja tu kama roho.. kua nao angalau watatu wanne hata ikitokea mmoja akakuacha wala huwez kuteseka.
 
I get high i get high (kwa sauti ya bwana ake nandy)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…