How do you handle break up?

Unataka ujilipue ..rest in peace
 
You're advising a gentleman not a Lady, unless he is from korea
 
I do not give a shit about anyone or anything.Except when it is gone.THATs ME.
Kama ndio hivi mkuu Basi Koma kabisa! Natamani na vidonge vya usingizi vikuache ili usikilizie maumivu vizuri!

Ndio ujifunze sio vizuri kuchezea hisia za mwenzio.

Tatizo la baadhi yenu mtu akiwasamehe Mara tatu nne mnamgeuza zoba
 
Unazingua ..mi nakuona mwana hiphop kumbe laini laini hivi!!?
 
Sikufa mpk leo naishi..... I was so faithful ktk mahusiano aliponiacha na fedha nlizoandaa kwa ajili ya mahari na sherehe ya harusi yetu nilinunua kiwanja na kufanyia maendeleo mengine ilobaki nilinywea yoooote. Nlimvizia Mara 2 nimchome kisu Cha tumbo, nilimpata Ila nilipomuona Mungu aliingilia kati (alikuwa na mimba ya mwanaume mwingine)....
 

But the best healer is time.
 
But the best healer is time.
ha haaa...pole Sana ndugu yangu cjacheka Kama ni mazuri Ila umenkumbusha hii hali iliwahi kunikuta hawa watu staili zao waga ni hzo hzo cjui hawana mbinu nyingine same case 2me acyejua anaweza acjue maumivu ulonayo nilikaa wiki nzima siendi job bila hata taarifa nikaona cna haja tena na kaz nlokua na mtafutia kankimbia navisababu Kama hivo Mara umebadilika kumbe kapagawishwa na jamaa alokabiziwa mirathi na kuushika mtaa kwa muda baada kugundua ilizdsha maumivu baada ya miez ka 3 iv nlitafuta pisi moja kaliii Yan ckurud kumkumbuka kabsa saiv anaishi kwao ananiganda knoma Ila anachokutana nacho anakijua mwenyew na mungu wake cha kukushauri ondoa hofu kabsa na ujikubali hauna tabia mbaya Wala nn Ila Kuna mtu kapendwa relax tafuta pisi Kali hutawah kumkumbuka
 

mwana kulifind mwana kuliget HUU NDO UJUMBE ALONIPA LAST TIME NILIPOMTAFUTA KUMUOMBA MSAMAHA THOUGH I DO NOT THINK I SHOULD CHANGE ANYTHING ABOUT ME
 
THANKS MAN
 
I gave the love and care that she deserved but she wanted more and I did not give a shit
 
Unmenikumbusha mwaka 2016 nilivyokuwa napambana na heartbreak ya kuachwa, dah ilikuwa noma sana. Ilinibidi kubadilisha mazingira, mawasiliano(japo aliipata na hiyo namba kutoka kwa watu wangu wa karibu) na mfumo wa maisha. Ila kipindi hicho kilinifunza mengi sana ikiwemo kutomuwekea mwanamke guarantee ya maisha. Muda wowote yale mapenzi yote yanaweza kuwa shubiri ghafla
 
Kula ugoro utamsahau haraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…