How do you handle being an introvert?

Well said buddy. I learnt to enjoy beeing introvert and I can tell you I really feel good of it. I have as many skills as any person would want to. I am full of energy and confidence which makes me so happy.
That's what matters buddy.I wish all introverts would understand how blessed we are to be like this.
 
Sikua najua hili na introvert, yani sipendi kupiga simu,wala kwenda kwa watu, yani napenda kukaa peke yangu mno.cha kushangaza mimi ni mtu wa tungi kiasi (bia) ila sina kampani yani hujitokea mwenyewe nakunywa bia zangu tatu au nne huyoo home...nimejaribu kujichabganya ila nimeshindwa kabisaaa. Kumbe ndo mwaita introvert eee!!
 


The best way is to be in an intermediate position between introvertism and extrovertism, any extremity in either way is bad.
 
Nasoma comments

Good morning sweetheart,
Nimemiss kupata text yako hata ukisema Hi..
Mimi ni introvert, natamani sana kupata rafiki wa kike mwenye character hii labda anaweza kunishauri na kunisaidia kuiondoa hii hali
 
Jitahidi jioni uwe unakuja basi geto kwangu, na mimi ni introvet..... tukiwa pamoja tunatengeneza kitu kinaitwa Introspectacular impledestric; ndicho wanasiasa wanatumia kujengea stigler.
 
Good morning sweetheart,
Nimemiss kupata text yako hata ukisema Hi..
Mimi ni introvert, natamani sana kupata rafiki wa kike mwenye character hii labda anaweza kunishauri na kunisaidia kuiondoa hii hali
Morning
Utawapata tu mpendwa.. endelea kufuatilia comments wanaweza jitokeza.
 
Kwa introvert wa kweli, hakuna jibu bora zaidi ya hili. Tofauti na hapo wewe utakua ni mtu ambae hujazoea tu kujichanganya ila sio introvert, there's a difference.
 
These may help. All the best !!!!
 

Attachments

It takes time to socialize.. and u have to accept things u usually dont like which most of people return to be introvert .... what u need is not making friends what you need is someone .... that one person (best frien/lover) who wil take u out have fun n stuff and usually that person may be an extrovert all in all everything has its consequences.. all the best
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…