How do you handle being an introvert?

How do you handle being an introvert?

Ketamine

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
824
Reaction score
788
Introverts are people who prefer time for themselves, few circle of friends, in short people who are not social because of being shy/quite/.

I think I have this personality,and it cost me as I feel like I don't have a life after work hours.

I need advice on how to train myself from being introvert..so that I may be able to socialize,meet people and make friends.
 
Kama vip anza kua mshabiki Wa mpira na uwe unaenda kuangalia mpira kwenye vibanda umiza .
Hiyo kwa wanaume hua inasaidia ,

Kwa wanawake sifaham , ngoja waje wakusaidie
 
Kwanza jisome zaidi wewe ni introvert kutoka kategori ipi.. unaweza kuwa phlegmatic au melancholic.. chengine jua mapendeleo yako na aina gani ya social interaction unayoitaka na aina gani ya marafiki watakuwa salama kwako! Usikimbilie tu social interaction kwakuwa unaitaka huko ndugu Kuna makomamanga na vilamba mwiko!.. watakukela na kuuona uintrovert ndio salama zaidi!!.. kuliko unavyofikiria!
Jua kwanza unachokiendea kabla ndo ukiendee.. marafiki wengine vimbwanga tu hawana koromeo watatoa mambo yako yote na baadhi yetu mnavyokimbiliaga kujinyonga mnafanya introvert wote tuwekewe viulinzi..😂

Nitarudi baadae kuweka mapendekezo yangu hii ni onyo tu.
 
Kwanza jisome zaidi wewe ni introvert kutoka kategori ipi.. unaweza kuwa phlegmatic au melancholic.. chengine jua mapendeleo yako na aina gani ya social interaction unayoitaka na aina gani ya marafiki watakuwa salama kwako! Usikimbilie tu social interaction kwakuwa unaitaka huko ndugu Kuna makomamanga na vilamba mwiko!.. watakukela na kuuona uintrovert ndio salama zaidi!!.. kuliko unavyofikiria!
Jua kwanza unachokiendea kabla ndo ukiendee.. marafiki wengine vimbwanga tu hawana koromeo watatoa mambo yako yote na baadhi yetu mnavyokimbiliaga kujinyonga mnafanya introvert wote tuwekewe viulinzi..
 
Me as introvert!
1599616080499_adobe.jpg
 
Kama vip anza kua mshabiki Wa mpira na uwe unaenda kuangalia mpira kwenye vibanda umiza .
Hiyo kwa wanaume hua inasaidia ,

Kwa wanawake sifaham , ngoja waje wakusaidie
Aende Saloon na ashiriki na vigodoroo kwa wingi. Ila mtoa ushauri huu sio female.
 
Introverts are people who prefer time for themselves, few circle of friends, in short people who are not social because of being shy/quite/.

I think I have this personality,and it cost me as I feel like I don't have a life after work hours.

I need advice on how to train myself from being introvert..so that I may be able to socialize,meet people and make friends.
Kwa kweli inachukua muda kwa watu wa aina hii kuwa na muunganiko mzuri na watu wengine, binafsi nilikua nikiumizwa sana jinsi watu wanavyonitafsiri muda mwingine utaambiwa unadharau kwa sababu hupendi kujumuika na watu, lakini kiuhalisia haudharau watu lakini unakua hauko comfortable kujumuika na watu

Nilikubaliana na hali yangu nikauchukulia kama udhaifu nikatazama ni kwa jinsi gani na solve tatizo.

.kwanza kabisa kuza nguvu ya uthubutu, kile ambacho akili yako unahofia kukitenda(mfano kujumuika na watu katika shughuli mbalimbali za kijamii) jaribu kukitenda hii inasaidia kuishinda hofu jambo ambalo ni changamoto kubwa sana kwa introverts.
 
Wengi mnajinasibisha na kujiita introverts lakini ninyi si introverts halisi. Na ndio maana mnalalamika etI mnaona tabu kutochangamana na watu.

Kwa introverts hasa wa ukweli, kutochangamana na watu ndio ukamilifu wao na wala hilo hawaoni tabu kwao. Yaani ni sawa na samaki kuwemo majini, yaani humo ndio kwenye ukamilifu wake...wala hatohitajia kwenda nchi kavu.

Na sio kweli kuwa ukiwa introvert unakuwa nyuma ya dunia (mawazo ya kizamani). Bali unakuwa na fursa ya kujisomea sana ukiwa mfatiliaji wa mambo/news.

Ukiwa introvert unakuwa na marafiki wachache lakini wa maana na ukweli...sio utitiri wa marafiki takataka. Kuwa na marafiki wachache wa maana kunaokoa muda (stori nyingi za vijana wa kileo ni pumba, udaku na uasherati) ambao badala yake utautumia kwa mambo ya faida.
 
First,consider your introvertism a blessing not a misadvantage.We are just wired differently from extroverts.So we posess many things that many(extroverts) wish to have,but we take them for granted and focus on negatives,things a society full of extroverts view as the way of living;but it's not,it's their way of living.

We posess; high inteligence,creativeness,honesty,focus,deep love,confidence,decisiveness, you name it.

Secondly,you/we need to understand what being introvert really means.Introvert is not anti social,is not egoistic,is not shyness,is not many things we name it...

Introvert is the one that recharge by being alone.That is the only difference between an introven and extrovert.The need to recharge,to regain energy,to reboost by being alone., while extroverts prefer being around people to recharge.So you wanting to regain by being around people is denying yourself peace and happiness.You will never achieve that.

I used to think that way,but slowly i discovered that I'm introvert but can talk without shy,can stand before big audience and speak,can make friends easily,can engage in group talks very nicely,things that many extroverts can't but it's just that I prefer different.And you can learn that too,not because you are an introvert but as human being.These are soft skills
anyone should learn regardless of their personalities.

So my friend,the key is to accept you are an introvert and enjoy having few meaningful friends,enjoy being alone,enjoy learning to cope with boredoom(extroverts strugles too),enjoy learning new soft skills and enjoy the fact that you are different from extroverts just like they are different from us.
 
My fellow introvert 🤗, just embrace who you are and remember that we do not have to feel lonely while we are alone.

1)Do not force friendships you because you are "introvert"

2) Rather join a "club" ,a one that you will feel "connected"( here the club stand for a group of people who hold a particular activities and have a routine to meet after "n" days)

3)Do not be the first one to leave. Either from job, Church, congregation, meeting and so on.

4) Having a high sense of humour will attract people.

5) Learn communication skills ( most introvert lack proper communication skills and they are very arrogant while talking to people)

6) Due to point no 5 above, be respectful.

My experience
Once i was like you, introvert, not connected, i felt like i could be alone and i didn't want to form friendship with people, My phoning always lasted less than 1 minute and I never wanted to call people on the first place, upon manoeuvring that condition here is what i did,
i) I preferred to go out more.
ii) I always stay late in the events
iii) I joined more clubs to connect with people, i joined foreign languages club, and awareness groups.
iv) I started to read books.( and more books)
v) If you choose to be a leader, you will find a way to connect with people.
vi) Do not reject a simple "hi" on a street.
vii) Try having longer communications on phone.
viii) Do not prefer to be inside your room on the weekends. You are killing the vibe and that "passivity" will stay with you forever.

Hope that will help.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom