How do you call this?

Wanaume wa Dar watapondea kwa sababu hawawezi hapo Dume la kinyakyusa limebeba udingizi wake watu wanaona noma
Itakua wasukumu hao, hakuna mnyakyusa mshamba wa hivyo[emoji16][emoji16]
 
Hakuna kitu furaha kama kujitoa akili
 
Upendo Mubashara.
Watu wanaponda tu kwa sababu zao binafsi, ila ingekuwa picha ya kizungu au kihindi wange-like wengi.

Jipeni raha wenyewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…