How do you answer "Why did you leave your previous job?"

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Jamani hili swali unalijibu vipi, tusaidiane majibu ambayo wewe binafsi ulitumia hivyo kila unapokutana na swali kama hili huwazi mara mbili. "Why did you leave your previous job?"
 
Jamani hili swali unalijibu vipi, tusaidiane majibu ambayo wewe binafsi ulitumia hivyo kila unapokutana na swali kama hili huwazi mara mbili. "Why did you leave your previous job?"

Mkuu, kila mtu huacha kazi kwa sababu zake. Au wwe uliacha kazi bila kujua sababu hadi utafute desa?

Labda useme sababu iliyokufanya uache kazi awali, hapa tukushauri namna ya kuiweka vizuri. Unaonaje?
 
tufanye demu wako anakuuliza sababu za kutemana na demu wako kabla yake!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom