Hakukuwa na haja ya kuzunguka watu kwa kuchomekea mambo ya watoto, kwani watoto wako ukiwaambia wasichezee simu yako hawakuelewi? umeshindwa kui-unistall whatsapp halafu ukaiweka tena? je umeshindwa kuweka app locker kwenye simu yako na kui-lock whatsapp?