How do i Solve this?

chunguza kwanza au waite wote wawili uwaambie kilichoko moyoni mwako
utashangaa utakayo gundua
ama wana kitu going on au mdada hana msimamo

anashikwaje kiuno na mtu asie mhusu?
 
...pale mchumba anapokuzuia usichukue hatua.....INAJENGA SHAKA KUWA MAMBO YAMEKWISHA HARIBIKA, na zaidi amemkubali rafikiyo zaidi yako!!! vuta subra ITADHIHIRIKA KATIKA SIKU CHACHE ZIJAZO. KILA LA KHERI KIJANA...
 
mapenzi kazini si mazuri... Ufanisi hupungua sana. Muoe huyo mwanamke then mwachishe au wewe acha kazi hapo.

Ila, akili kichwani, kwa majibu yake ya siku za karibuni, rafiki yako ameshapewa uroda.


amenikumbushia ngoswe penzi kitovu cha uzembe.......!
 
When i see a bit.ch act like that

I just s.uck a pu.ssy
F.uck a pus.sy
And live it there
 
Pole mkuu,labda alishawahi kuumizwa,hivyo anatake time kufanya decision,..........kama una wasi wasi just comfront huyo rafiki yako,wewe ni mwanaume bwana unaogopa nini,na urafiki ufe,kwanza hamna urafiki hapo kama anammendea mkeo,,,,,,,urafiki ni pamoja na kuheshimiana.....kuhusu kushikwa viuno,wala lisikupe pressure huyo mwanamke anatafuta attention yako tu umuonee wivu au wa bei ya juu lol,unless ulimuona akishikwa viuno otherwise akimention tena kushikwa kiuno,kaa km dakika chache then mshike kiuno!!!!
 
Natafuta Logic, kwann hataki nim confront jamaa? Hata napomuuliza, hanipi sababu zaidi ya kuniambia ni achane nalo hilo... Sasa naona nadharaulika both sides, Kwa Huyu Mchumba wangu na kwa jamaa..

Ni kweli. Fanya uchunguzi makini ila jiandae kwa lisilotarajiwa.
 
Mkuu hapo umeliwa aisee,tena siku nyiiingiiii

Huyu binti hapo amejitengenezea mazingira kwako ili umuone yeye sio Cha wote lkn kiukweli ni kwamba Rafiki yako kama hajapita basi soon anamla. Kwanini akukataze usimwambie rafiki yako?

Fanya hivi,mfuate mshkj wako halafu mwambie aache kumsumbua shemeji Yake Halafu uone huyo gf wako atachukua uamuzi gani. Kama hato kasirika na kutishia kuvunja uhusiano wenu mimi nitatembea bila nguo kutoka posta mpaka feri

Na hiyo itakuwa ushahidi Kuwa anampenda zaidi Jamaa yako kuliko wewe. Acha uoga na Piga Moyo konde ufanye nilicho kushauri uone matokeo.
 
chunguza kwanza au waite wote wawili uwaambie kilichoko moyoni mwako
utashangaa utakayo gundua
ama wana kitu going on au mdada hana msimamo

anashikwaje kiuno na mtu asie mhusu?

Huyo Mwanamke ana tatizo la kutojielewa, it seems anapenda attention anayopewa na jamaa na hataki umconfront kwa sababu hapendi jamaa aache au aumie moyoni.
Kitendo cha kukwambia kuwa anatongozwa na kushikwa inaweza kuwa anajihami kwa sababu kunaweza kuwa na watu walioshuhudia tukio fulani walilolifanya au wanaujua uhusiano wao.
Mwambie unamfuata jamaa ukiwa nae au unajitoa, anaweza kuwa anacheza na nyinyi wote.
 
chunguza kwanza au waite wote wawili uwaambie kilichoko moyoni mwako
utashangaa utakayo gundua
ama wana kitu going on au mdada hana msimamo

anashikwaje kiuno na mtu asie mhusu?

Huyo msichana ni loose ball, eti shemeji anakushika kiuno ......anaanzaje kama hampi green light?
 
Ukiona manyoya ujue kuku ameshaliwa. Una hakika aliishia kumshika tu kiuno!? Au mengine ya kumvua pichu mrembo wako kaminya ile aendelee kufaidi huku na kule!? STUKA Mkuu.


 
Last edited by a moderator:
Ukiona manyoya ujue kuku ameshaliwa. Una hakika aliishia kumshika tu kiuno!? Au mengine ya kumvua pichu mrembo wako kaminya ile aendelee kufaidi huku na kule!? STUKA Mkuu.


Yap ndo maana jamaa akimuuliza demu anakuwa mkali. Anamnyamazisha jamaa ili afaidi kote kote.
 
Last edited by a moderator:
Huyo msichana ni loose ball, eti shemeji anakushika kiuno ......anaanzaje kama hampi green light?

Exactly! Mtu mwenye akili timamu hawezi kumshika Mwanamke bila walau dalili chache zinazoashiria kuridhia kwa mwanamke huyo kushikwa!
 
Mkuu! Pole sana! Umeshaliwa toka long time.
Naomba urudi kwenye kamusi utafute tafasiri ya neno rafiki otherwise naona una abuse the word rafiki. Unamuita mfanyakazi mwenzako, mtafutaji mwenzako rafiki hapa bongo? Kweli? Try to define the term friend in the current setting of the world especially in Dar and other places.

Ushauri wangu huko hivi, naona hata dada mwenyewe hujui mahusiano yenu yana status gani maana kuna wakati unamuita mchumba na kuna wkt unamuita dada mmoja hivi so the best way out ni kuhakikisha uko safe healthwise na psychologically. That being the case, jaribu kumpotezea dada, weka safe mode kisha kimbiaaaa. Toka ndukiii. Ukiona mwanamke anaanza kutumia nguvu nyingi na mbinu hizo kukukataza usimwambie jamaa basi juwa washajiwekea mkakati huo. Wewe ujihisi mwenye mzigo kumbe mfanyakazi mwenzio na anachimba mgodi humo humo. Ni ngumu lakini you have to take that decision last month.

Ni hayo tu
 
Usitafute sababu ya kum-confront jamaa. Kwa sababu kuna siku utaumbuka. Huyo jamaa anamshikia kiuno wapi mchuchu? Kwenye corridor ofisini ama wapi? Na huyo dada ndio unahitaji kumconfront kama anaendekeza mitongozo hiyo.


Mwisho wa siku jifunze. Dont do the crew. Kufanya zero grazing ni uvivu wa kutongoza. Na huyo rafikio hakufai. Kaa nae mbali
Natafuta Logic, kwann hataki nim confront jamaa? Hata napomuuliza, hanipi sababu zaidi ya kuniambia ni achane nalo hilo... Sasa naona nadharaulika both sides, Kwa Huyu Mchumba wangu na kwa jamaa..
 
No woman no cry, no woman no cry
Say say i remember, when we use to...
--------------------+-
By Robert Nesta Marley
 
Mwanamke huwa hapendi mwanaume asiyejiamini lakini wakati huo huo huwa hapendi mwanaume asiye tayari kumlinda...

Jaribu kuwa mwerevu maana unaweza kuishia kuumizwa big time...
 
Wanasema kazi ya moyo ni kusukuma damu kupenda ni kiherehere tu ...penda Kwa asilimia 9% na usimwamini mwanamke hata Kwa dakika 1 ishi nao kama mnafanya bongo movie, ila waheshimu Kwa sababu ni mama zetu Dada zetu na niwake zetu na huyu Sasa ni demu Wako, ukiweza tu hayo unasolve issue yako.
 
Me naona tatizo liko kwa mwanamke, inaonekana yupo loose kiasi cha jamaa kuhic anaweza kumshika sehemu yoyote bila dem kusema chochote. Na inaonekana kuna watu wameona ndo maana kakuambia ili kujidefend. Me kwa experiance ndogo nina mashaka sn na mwanamke anaetongozwa af anakimbilia kukuambia, kua makini sn. Mwanamke atatongozwa tu hata km kaolewa, na km anajitambua angelianzisha pale pale baana ya kushkwa kiuno, ungeishia kucmuliwa kuwa demu wako ni mkorofi. Na jamaa kisaikolojia angekua muoga hata kukitazama, angehic hlo tifu umelisikia. So sio lazma akuambie, km anajiamini na hataki kudhalilishwa, wanaume wengi wakilijua hlo watamuheshim, na cc wanaumw tukishajua hu ke anajielewa hatunaga taabu. Lkn et demu kila akitongozwa anakuja kusema, me hii tabia hata demu wangu alikuwa nayo,nikamwambia km huna uwezo wa kuwakatalia wanaume hadi uje uombe ushauri kwangu, hii ndo mara yako ya mwisho. So wengine ni kitokua waaminifu bt wengine n utoto yaan dem ambae hajakomaa kiakiri. Mara utackia boc flan kantongoza, mara kuna mkaka pale ofcn hua ananiitaga, yaan rubish ss cjui akigongwa pia atakuja kusema dia leo nimegongwa! Maranyingi wanataka ukishtuka akuambie, mbona nlikuambiaga yule ananifata fata nmemjataa?Muamini demu wako kwa kuckia kwa watu kuwa anawatoa watu nishai, co yy atafute cr kwako kuwa kawakatalia wangapi, aisee huyo demu anakushika akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…