wakuu niliiformat mashine yangu na nimeweka window 7. cha ajabu kila nikijaribu kuinstall printer kwa kutumia cd inakuja hii message %1 is not a valid Win32 application..dah msaada wenu unahitajika nifanye nini wakuu
natanguliza shukrani
wakuu niliiformat mashine yangu na nimeweka window 7. cha ajabu kila nikijaribu kuinstall printer kwa kutumia cd inakuja hii message "%1 is not a valid Win32 application"..dah msaada wenu unahitajika nifanye nini wakuu
natanguliza shukrani
unapata hiyo error kwa sababu huenda hiyo executable imecorupt na assembly information zake hazipo sawa jaribu kufanya installation kwa kutumia source nyingine online au tafuta cd nyingine.