Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,113
- 34,953
Umependeza kimwana Mkuu ummu kulthum
HOW DO I LOOOOK!! DON'T BE SHy,PLEASE TELL ME EEEH!! WHAT??? AM LISTENING........................MMMH REALLY?
Shukrani zangu za dhati zikwende kwa mtarajiwa wangu platozoom sehemu yeyote aliko hata kama kwa AmKATRINA, kwa shem wng wa ukweeeee Young_Master shostito na mshauri wangu wa kariiiibu cacico na charminglady, Bishanga, kipipi upo? babu kijana Asprin na wakeze na watoto, wajukuu na vitukuu, vilembwe na vilebwekezi. fungua shule ya msingi ntakusaidia. duuuh!
shukran kwa washiriki ingawa walichakachua na hawakushinda Erickb52 na wengineo walioleta maombi yao kwa njia ya pm Taz na wengine wengi majina yamenitoka kichwani.................
kwa kutumia avatar hii mshindi anajijua ila alipendekeza asitwaje hadharani kwa ajili ya sababu za kimapenzi, anahofia usalama wake ameshabagwa na kumiminiwa mara kadhaa wazoefu wa humu watakuwa wanamjua ni......................
kamati ya maandalizi ya zawadi iko mbioni kumshawishi atajwe hadharani akikubali ntarudi na majibu.
Wenu.......
Ummu kulthum Platozoom
nice ...young african lady...utapitia kitenge kingine dukani kwangu cha kufunga usongo.
Lol umependezaje. angalia babu aspin ana aleji na watu sampuli yako.
Asante Ummu!pole E asiyekubali kushidwa si mshindani,kama vile leo watoto wa jagwani walivyochukua kikombe kwa binde sanaaaaa!
Labeka ummu kulthum, nimeambiwa umeniita.msongamano wa Asprin na wakeze siutaki kabisaaa!
Babu kijana???? ABOMINATION!
HOW DO I LOOOOK!! DON'T BE SHy,PLEASE TELL ME EEEH!! WHAT??? AM LISTENING........................MMMH REALLY?
Shukrani zangu za dhati zikwende kwa mtarajiwa wangu platozoom sehemu yeyote aliko hata kama kwa AmKATRINA, kwa shem wng wa ukweeeee Young_Master shostito na mshauri wangu wa kariiiibu cacico na charminglady, Bishanga, kipipi upo? babu kijana Asprin na wakeze na watoto, wajukuu na vitukuu, vilembwe na vilebwekezi. fungua shule ya msingi ntakusaidia. duuuh!
shukran kwa washiriki ingawa walichakachua na hawakushinda Erickb52 na wengineo walioleta maombi yao kwa njia ya pm Taz na wengine wengi majina yamenitoka kichwani.................
kwa kutumia avatar hii mshindi anajijua ila alipendekeza asitwaje hadharani kwa ajili ya sababu za kimapenzi, anahofia usalama wake ameshabagwa na kumiminiwa mara kadhaa wazoefu wa humu watakuwa wanamjua ni......................
kamati ya maandalizi ya zawadi iko mbioni kumshawishi atajwe hadharani akikubali ntarudi na majibu.
Wenu.......
Ummu kulthum Platozoom
Labeka ummu kulthum, nimeambiwa umeniita.
Kwa mujibu wa babu yangu Mtweeta (RIP), kile kijitu kadiri unavokisugua ndivyo kinavozidi kuongezeka.... Unataka kuthibitisha? Kam zis wei!!Asprini hivi hicho kinaniii si kimeisha kabisa
kwa kusugua sugua kila chimo, lol.
Kwa mujibu wa babu yangu Mtweeta (RIP), kile kijitu kadiri unavokisugua ndivyo kinavozidi kuongezeka.... Unataka kuthibitisha? Kam zis wei!!
Ssshhhhhhhiiiiiii!!!!!!Nitamuuliza matesha leo tukikutana kwenye vikoba leo.
Ssshhhhhhhiiiiiii!!!!!!
Babu kijana???? ABOMINATION!
Haya BADILI TABIA, cacico na Yummy chini ya uangalizi wa Kongosho hebu mkuje pande hii muone waubani wenu eti naitwa sharobaro!!
Labeka ummu kulthum, nimeambiwa umeniita.
aaaaah!!mbona hiyo cha mtotoMsamehe hun, si kosa lake. Kosa ni kucheza mchezo asiouweza.
ulivyoitika vizuri kama upo na wakenzo kwa Rum.......