Ili kupata kibali cha ujenzi kutoka manispaa, mwenye hiyo nyumba uliyoona, lazima aliwasilisha michoro (ramani nakadhalika) katika manispaa husika ya eneo hilo.
Kwa hiyo kujibu swali lako, waweza kupata hiyo ramani kutoka manispaa husika. Utahitaji at least kujua namba ya kiwanja/Kitalu nyimbo hiyo ilipojengwa ili kuweza kufanya search manispaa (hii ni assuming eneo liko surveyed/limepimwa)
Nawakilisha.