Huko kunaitwa kuruka majivu na kukanyaga Moto usifikiri ndo umemaliza tayari huyo binadamu kaweka kitu fulani akilini mwako,Kama hujafanya Leo basi kesho ipo kikubwa ni uzima na muda tu mambo hujipa yenyewe,tatizo si kukataa bali kuusimamia msimamo wa kukataa hilo ndo gumu..🤓🤓🤓