How deep is this love?

Roger Sterling

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2015
Posts
13,010
Reaction score
23,656

​


​
Kwenye Counting Cars S04 episode 07(Road Runner Redemption), mtu mzima(juu kwenye picha) kaja ku-restore from 'top to bottom' gari ambayo ilikuwa inamilikiwa na aliyekuwa(marehemu kwa sasa) Mume na mzazi mwenza wa mkewe ambayo mara ya mwisho kuwa barabarani ilikuwa 2005 kwenye msiba wa huyo mzee. Yote hayo kafanya ili kuweka tabasamu katika nyuso za mkewe na binti yake ya kufikia since hiyo gari itawasaidia ku-reconnect kwa namna moja ama nyingine na mpendwa wao aliyetangulia. That's quite something, huh?

​
Would you do something of that nature for your other half, in your own way...just to see them happy?


A Road Runner, not 'the'.





​
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…