How Could He Just Stand There?

Huyu jamaa kwanini hapewi nafasi hata JK akapata faragha na mgeni wake? Inamaanisha hata mkuu akiwa anakula nahisi yuko pembeni:becky:
 
Halafu afya yake imeimarika sana siku za karibuni. Na amezidi kutakata. Hivi kazi yake ni nini hasa? Kupose kwenye picha? He is however photogenic
 
ha ha ha haaaaaaa! korokoroni huyo!, aisee nirudishie kitabu changu kama mmeshindwa kusoma.
 
halafu icho kitu kilichofunikwa na kitambaa hapo mezani ni nini? wasije kuwa walimchukulia mgeni take away ya chips...
 
Brother sikuhizi kumbe anachart, naona kaweka simu tayari tayari hapo pembeni au nimeona vibaya kuchukua namba
 
Enzi za Kambarage alikuwa free lakini wenzetu wanaofya maisha yao kutokana na dhambi zao walizonazo.
 
nilidhani si kiumbe bali sanamu (sorry)
 
I like him jamaa yuko makini na kazi yake nyie mnashangaa mwenzenu anaingiza siku kwa kusimama hivyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…