How Chato will look in 2025 like President Mobutu's ruined jungle paradise, Gbadolite

Na akiwagusa mafisadi wakubwa hata Dodoma itakuwa mama mkwe kwake, kwa vyovyote atahamia Chato na ndio maana anaannza kutayarisha uwanja wa ndege kule porini, inshort jamaa anajua kuchanga karata.
 
Hilo la Uwanja ya ndege wa Kimataifa mmelitoa wapi? Tenda ya rasmi ya Serikali hii hapa chini na sioni mahali palipoandikwa Chato international Airport, sasa niambieni mlipoitoa!

1470920317098-jpg.379672
Kwa specifications za runway unaweza kuona uwanja ule utapokea ndege kubwa mpaka B 747 kitu ambacho ni ndogo zitue Chato wakati Mwanza airport ipo
 
Watajenga kiwanja kidogo tu kama vya mikoani sio international! Naamini hata fuja pesa kwa ajili kiwanja kisicho na tija
 
Watajenga kiwanja kidogo tu kama vya mikoani sio international! Naamini hata fuja pesa kwa ajili kiwanja kisicho na tija
basi hilo tangazo lirudiwe upya! Akijenga kama cha Bukoba nje ya Chato (iliyo km 129 toka soon to be Mwanza International Airport) kama mpakani na Shinyanga wala sitakua na tatizo nae maana uta-make more sense ukizingatia ule wa Tabora bado upo mbali na Shinyanga kwa kuzingatia ukubwa wa Shinyanga!

zambia-political-map.html

1024px-Tanzania%2C_administrative_divisions_-_de_-_colored_%28%2Bdetails%29.svg.png
 
Sawa tu mwacheni afanye atakavyo ma-Tanzania yenyewe mapumbav sasa sisi tufanye nini? Si unaona majitu yanavyotoa mapovu humu ndani kushabikia ujinga? Ina maana mwalimu hakuwa na akili wao ndo wanajiona bora kuliko wengine? Unawekezaje vitu vikubwa vikubwa hivyo utafikri utakaa kwenye kiti milele? Hata aibu usoni hawana, hivi angejificha nyuma ya Geita nani angelalamika? Hapa namaanisha kwamba huo uwanja angeuweka Geita wala watu wasingeona shida! Kuna jamaa zangu niliwaambia kwamba mtu wenu ni mbinafsi wakanibishia, sasa nafikri wanajionea wenyewe!! Alianza na barabara, akapindisha iliyokuwa inatakiwa kupitia Biharamulo akaipeleka Chato, akaja makao makuu ya mkoa akaanzisha ujenzi wa majengo ya hatari sana ili Chato yawe makao makuu ya mkoa (hongera yao waliweza kumdhibiti), akaja taa za kuongozea magari akaweka Chato na sasa tunajionea international airport, kazi tunayo!!
 
ndo maana nikaifananisha Chato na Gbadolite! Atakapoondoka Chato nayo itakufa hamna mji ulioanzishwa bila mikakati ukajengwa na ukakaa uchukue hadhi yake!
 
Kwani international Airport maana yake nini?
Uwanja kuwa wa kimataifa ni kuwa designated kutumika kama gateway ya masuala ya forodha na uhamiaji. Kumbuka hii ni designation tu. HATA HIVYO (pigia mstari); ili uwanja uweze kutangazwa kuhudumu kimataifa ni budi uwe wenye facilities za kutosha na ukubwa wa RUNWAY ya kuwezesha ndege za kimataifa (we assume sifa ya ndege kufanya safari za kimataifa ni ukubwa wake kutokana na comfortability, costs, stability etc).

Sasa Runway ya KM 3 sio suala la kuuliza kama zitatua ndege za aina gani. Kimsingi una akili fulani ambazo zinaweza kuwa na mchango mzuri kwenye taifa lako, lakini jifunze kuwa objective, fair, patriotic, ready to be criticized, agility behavioral, sense of public interest. Katika siasa za kimaendeleo, usipende mtu bali penda itikadi yake. Akifanya vizuri unamuunga mkono, akivurunda unamwambia ili ajirekebishe. Ukizingatia hayo likely, utakuwa mchambuzi na mtu mwema kwa taifa lako.

Kama nchi, tungependa kuwa na Airport ya namna hiyo labda kila Wilaya au kijiji. Lakini, ni kipaumbele? Vitasaidia vipi katika uchumi wa jumla wa nchi? Whats so special huko chato?
 
Kama nilivyosema sielewi mfumo wa Serikali yetu unavyofanya kazi, inawezekana kabisa ndiyo mpango wao wa kwamba kila Kiongozi anafanyiwa mambo fulani kwao kwa maana wote ni hivyo hivyo ukienda Same huko kuna lami mpaka vijijini hata hazitumiki akina Msuya walijenga, kwanza Same mbali hapa hapa Dar ukienda Mbezi Beach Kilongawima lami imejengwa mpaka mlangoni kwa Mwamunyange (Mkuu wa Majeshi) kupitia nyumba pia ya aliyekuwa Mkuu wa Usalama Apson kabla ya hapo kulikuwa hakuna lami ukienda Sala sala (Kunduchi) lami imepigwa kuzungunguka karibia Sala sala yote mpaka mlangoni mwa Mboma ambaye alikuwa Mkuu wa Majeshi, ukienda Ada estate Migombani kote kumezungushwa lami kwa sababu ya nyumba ya Kikwete, ukienda Mikocheni kwa Mzee Mwinyi ile br. inyaozunguka nyumba yake imewekwa lami kwa ajili yake tu, na hayo yote yanatumia kodi zetu ambapo pia ungeweza kuhoji kwa nini wasijenge lami sehemu ambazo ni muhimu zaidi?

Hivyo hoja yangu imejikita kwenye fairness kumfananisha Raisi Magufuli na Mobutu kwa sababu uwanja wa ndege unajengwa Chato siyo kuwa fair kwake kwa maana viongozi wote wa Tanzania hufanya hivyo, hivyo kama ulitaka kuwa fair ungehoji uhalali wa kujengwa Uwanja wa ndege Chato na siyo kumfananisha Raisi Magufuli na Mobutu huku wengine kama Mlm.Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete na Mawaziri Wakuu karibia wote walifanya hivyo hivyo lkn wao kuwaacha kwenye ulinganisho na Mobutu
Naomba Mwalimu Nyerere tumwondoe kabisa kwenye huu ujinga ujinga! Ni lini Mwalimu alijipendelea akapeleka maendeleo kwake na siyo kwa wa-Tz wote? Mungu kwa kweli amlaze pazuri kabisa huyu mzee, hakuwa mbinafsi kiasi hiki tunachoshuhudia leo! Wewe ukaweke international airport Chato kwa ajili ya nini? Hivi kuna ubaya gani ndege ya Rais ikaishia Mwanza na yeye akapanda magari yake ambayo yanakuwa yametangulia siku mbili kabla? Au kwa nini asingeweka air strip kwa ajili ya ndege ndogo au helicopter ili akifika Mwanza kama anataka kupaa apande hiyo helicopter kutokea hapo? Aambiwe bila kufunika uso kwamba haya ni matumizi mabaya ya raslimali za taifa na ni dalili za ubinafsi hizi!!
 
ndo maana nikaifananisha Chato na Gbadolite! Atakapoondoka Chato nayo itakufa hamna mji ulioanzishwa bila mikakati ukajengwa na ukakaa uchukue hadhi yake!
Yaani sisi Ma-Tanzania sijui tukoje, eti upuuzi wa hivi nao unapata watetezi? Hao washauri wake alipaswa kuwatumbua hapo hapo siku walipompelekea taarifa za kwamba tumeidhinisha kujenga uwanja wa kimataifa Chato! Yaani Chato ndo ije iizidi Geita kwa ajili ya uwanja wa ndege tu? Haitakaa itokee, huo uwanja utadoda mara baada ya miaka yake mitano kuisha (sijapata ushawishi kwamba atamaliza miaka 10 huyu).
 
Hashauriki yule ni Mbabe maana hata katiba haeshimu
 
Una matatizo ya uelewa hivyo siwezi kupoteza muda wangu kujibizana na wewe, nimesema hakuna Kiongozi ambaye hakupeleka/ hakupelekewa miradi kwao alipotoka huo ndiyo ukweli kama hautaki sikulazimishi!
We boya tu, sio kwamba huwezi kupoteza muda bali huna hata mfano mmoja wa kuthibitisha madai yako! Ni upuuzi kulinganisha kipande cha barabara inayochepuka barabara kuu ya Bagamoyo kuingia kwa Mwinyi na ujenzi wa uwanja wa ndege; narudia, ni upuuzi!
 
Fanya kazi yako JPM ndiyo President unawasiwasi gani au na wewe fisadi uchwara?
 
Tangazo la Serikali hili hapa chini, ni wapi pameandikwa kwamba Chato international Airport mnayoiongelea?

1470920317098-jpg.379672

Hebu angalia ulivyo mweupe! Yaani kwavile hawakuandika neno "International" ndo basi tena?! Hivi umeiona hiyo runway? We unadhani runway ya 3 km x 45 m ni intended kwa ndege za kawaida? Hivi una habari hiyo runway inakaribina sana na runway ya Dar International Airport huku Dar ikiwa imezidi tu upana tena kwa 1m?!

Hapa chini ni tender ya Mwanza na Songwe Airports; kama ulidhani kuandika neno "international" ni big deal!

Songwe.png
 
Uwanja kuwa wa kimataifa ni kuwa designated kutumika kama gateway ya masuala ya forodha na uhamiaji. Kumbuka hii ni designation tu. HATA HIVYO (pigia mstari); ili uwanja uweze kutangazwa kuhudumu kimataifa ni budi uwe wenye facilities za kutosha na ukubwa wa RUNWAY ya kuwezesha ndege za kimataifa (we assume sifa ya ndege kufanya safari za kimataifa ni ukubwa wake kutokana na comfortability, costs, stability etc).

Sasa Runway ya KM 3 sio suala la kuuliza kama zitatua ndege za aina gani. Kimsingi una akili gulani ambazo zinaweza kuwa na mchango mzuri kwenye taifa lako, lakini jifunze kuwa objective, fair, patriotic, ready to be criticized, agility behavioral, sense of public interest. Katika siasa za kimaendeleo, usipende mtu bali penda itikadi yake. Akifanya vizuri unamuunga mkono, akivurunda unamwambia ili ajirekebishe. Ukizingatia hayo likely, utakuwa mchambuzi na mtu mwema kwa taifa lako.

Kama nchi, tungependa kuwa na Airport ya namna hiyo labda kila Wilaya au kijiji. Lakini, ni kipaumbele? Vitasaidia vipi katika uchumi wa jumla wa nchi? Whats so special huko chato?
Nimefurahi ulichomjibu huyu jamaa, huyu Barbarosa ana-bore lazma ni msukuma tena mtu wa Chato kwa jinsi anavyojibu! hayupo objective kabsaaaa!
 
Hebu angalia ulivyo mweupe! Yaani kwavile hawakuandika neno "International" ndo basi tena?! Hivi umeiona hiyo runway? We unadhani runway ya 3 km x 45 m ni intended kwa ndege za kawaida? Hivi una habari hiyo runway inakaribina sana na runway ya Dar International Airport huku Dar ikiwa imezidi tu upana tena kwa 1m?!

Hapa chini ni tender ya Mwanza na Songwe Airports; kama ulidhani kuandika neno "international" ni big deal!

View attachment 380956
Mkuu umelinyoosha hili shabiki ma.ta.ko hili!! Majitu mengine hayana akili za kuchanganua mambo eti na yenyewe yanajifanya ma-great thinkers, lilitegemea mpaka kuandikwe international ndo tuongee? Runway ya 3km siyo mchezo ati? Halafu linang'ang'ania habari za viongozi wengine kwamba walipelekewa miradi kwao wala haliangalii ilichukua muda gani mpaka kupeleka mradi huko? Huyu jamaa bado hata mwaka hajamaliza tayari keshafanya yake, sasa akimaliza miaka 10 itakuwaje? Mwalimu Nyerere mwenyewe alikuwa amegoma hata kujengewa nyumba mpaka jeshi likatumia nguvu, swali la kwanza alilowaambia walipomwonesha ramani (jumba kubwa hivi kwani mimi tembo?). Barabara ya rami kwenda Butiama nafikri imejengwa akiwa ameshafariki! Tuache ushabiki maandazi tutazame mambo kwa jicho la tatu, huu ni unyonyaji full stop! Kodi zetu zitumike kwa usawa!!
 
Huyo jamaa ukiwa unasoma soma post zake zinazohusiana na JPM wallah unaweza ukawa mtu wa kula ban kila wakati! Kwanza hata hao viongozi aliowataja hakuna aliyefanya kama hivyo na ndio maana nimemwambia anitajie ameshindwa mbali na kutaja sijui Mwinyi kajengewa barabara kwenda kwenye nyumba yake! Yaani barabara inayochepuka Bagamoyo Rd kuingia kwa Mwinyi ndo anataka kufananisha na uwanja wa ndege! Nimempa mfano wa Mkapa ambae kwao ni Masasi na Masasi ni kubwa zaidi ya mara 3 ya Chato na distancee from Masasi to Mtwara ni almost 200 KM lakini bado Mkapa hakujenga uwanja wa ndege Masasi ili asiwe anashukia Mtwara! Na ingawaje Barabara ya Kibiti-Lindi ilikuwa ni donda ndugu la tangia uhuru lakini Mkapa hadi ametoka ile barabara bado ilikuwa donda ndugu! Na hata kama angejenga, bado mtu huwezi kufananisha barabara na uwanja wa ndege kv barabara ingetumiwa na wananchi wote hata baada ya Mkapa kutoka madarakani wakati Chato Airport ita-exist kipindi JPM atakachokuwa madarakani peke yake!!
 
Analinganisha Daraja la Mkapa au Bagamoyo Mega port eti ni miradi yenye upendeleo wa maeneo? Whaaat! Hata kama kwenye nafsi zao kulikuwa na kitu cha namba hiyo, lakini angalau kuna justification na wider impact katika economic contribution ya nchi.

Daraja la mkapa ni gateway ya mikoa ya kusini, bagamoyo port, ni ku-offset Dar port ambayo sote tunakubali kwa uchumi wa Kati, iko congested (forget about the current fallout). Ni bandari ambayo ingeweza "kuuua" bandari nyingine shindani za nchi jirani na hivyo kuifanya nchi kuwa Hub nzuri kutokana strategic position yake na nchi za Asia na middle east. More than that, ujenzi wa Bandari unategemea na bahari. Tungeshangaa kama bandari ingekuwa proposed msoga! Haya atalilinganishaje na Uwanja wa ndege huo. Anyway, tumemchagua wenyewe.
 
Back
Top Bottom