How Chato will look in 2025 like President Mobutu's ruined jungle paradise, Gbadolite

Kigogo alitwambia Magufuli alikua na magonjwa yote yasio na tiba. Mwendawazimu, Kichaa, UKIMWI , Moyo mbovu na kadharika nakadharika..
Na hata picha za vipaja na tumbo kuvimba, alituonyesha Kigogo. Kigogo apewe sifa!

Kampeni zimemuua Magufuli alikua tayari spana mkononi,, lori la mkaa tripu shamba tripu gereji.😂

Kama kuna wakulaumiwa juu ya kifo cha Magufuli ni wale wapambe wake, walioshindwa kabisa kumlazimisha aende nje ya nchi kutibiwa na akae huko hata mwaka. Mpaka afya yake itengemae ndio angerudi.

Anaendaje nje Ndugai kutibiwa UKIMWI na Sukari lakini Magufuli kaachwa ateketeee..
Acha kusambaza uongo na uzushi
 
Chato kutakuwa hivi
344256e0-a388-43f5-90ff-6070f05a8e56-2060x1310.jpg
gbadolite-congo-7.jpg
4e0cb6fb5fb446d1c92ede2ed8780188-1504621710.jpg
 
Yaani Tz kuna machiziii chizi kama wewe, je kuna uhusiano gani na JPM?? Yaani wewe nahisi siyo mtanzania, unatuonea wivu sisi watanzania kwa kupata rais muadilifu.
Uwe unaweka akiba ya maneno
 
Back
Top Bottom