Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Why not uI wish someone could publish the book with that title!
Why not uI wish someone could publish the book with that title!
Dhahiri kabisa !!CCM ni laana. CCM imekumbatia ibada za sanamu, CCM ni laana kwa nchi hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
Victimhood mentality haikumuacha salamaKile kitabu alikiandika kwa chuki hakujuwa root cause ya African poverty ni African leaders plus internal factors
Sababu alikuwa mwalimu UD aliathirika na msemo wa kisa cha mbaazi kusingizia juaVictimhood mentality haikumuacha salama
He was shot in his own country in Guyana.Hivi Walter Rodney bado yupo hai?
Kama yupo hai inabidj aje a edit kila kitabu na title mpya iwe
"HOW AFRICAN POLITICIANS UNDERDEVELOPED AFRICA."
Case study iwe Tanzania under CCM
Wakomunist ni wauaji sanaHe was shot in his own country in Guyana.
Mambo yasiwe mengi, mengi yasiwe mambo
Hata kabla mitazamo yake ilishachafukaSababu alikuwa mwalimu UD aliathirika na msemo wa kisa cha mbaazi kusingizia jua
Ni mwathirika wa political economy na Sera mfu za ujamaa thus alikubaliwa kufundisha UDHata kabla mitazamo yake ilishachafuka
Stupidly,CCM haija underdevelop Tanzania, bali Watanzania wameiunderdevelop Tanzania, CCM siyo mashine bali ni watu ambao ni Watanzania, wewe ndiyo wale mnaoshindwa maishani na kumlaumu baba yako kwamba amekufelisha.
Huyu wa sasa anayeongoza Tanganyika ni muathiriwa wa siasa zipi ?Ni mwathirika wa political economy na Sera mfu za ujamaa thus alikubaliwa kufundisha UD
Cant do more than that ?
Ujamaa monopolization economicHuyu wa sasa anayeongoza Tanganyika ni muathiriwa wa siasa zipi ?