How can I watch EATV (Channel 5) live online

Lukansola

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2010
Posts
5,435
Reaction score
1,611
Wadau habari zenu, naombeni kujua jinsi gani naweza kuangalia East Africa Television on line (kwa simu), kuna kipindi nataka kufuatilia lakini mida yake inakwenda kinyume na ratiba zangu za majukumu mengine hivyo nakuwa mbali na runinga yangu, natanguliza shukrani wadau
 
Nunua startimes smartphone mkuu
 
Back
Top Bottom