Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,315
- 33,109
Nina internet yangu ya nyumbani ninatumie Desktop Computer ina modem ya kuweza kutumia kompyuta 4 kugawa internet kwa wakati mmoja. je ni jinsi gani ya kuweza kutumia kompyuta yangu yenye Modem ya Ethernet kwa kuunganisha na router yangu kwenye simu yangu ya mobile iwe inatumia internet ya Modem yangu ya Computer? Simu yangu ni nokia Model N9300 haina Wireless inayo Bluetooth. Ninawaombeni Msaada wenu wakuu wenzangu.