D damashizo Member Joined Jan 20, 2011 Posts 61 Reaction score 15 Dec 10, 2014 #1 Naomba ushauri Wa namna ya kurudishia CD (DVD) iweze kuonesha (play) video coz ni CD ya arusi na sina CD nyingine ya kumbukumbu. Asanteni kwa mawazo yenu
Naomba ushauri Wa namna ya kurudishia CD (DVD) iweze kuonesha (play) video coz ni CD ya arusi na sina CD nyingine ya kumbukumbu. Asanteni kwa mawazo yenu
fasiliteta JF-Expert Member Joined Jul 2, 2014 Posts 2,598 Reaction score 4,471 Dec 11, 2014 #2 duu hapo ikishindikana inabidi harusi ipigwe upya hahaaaaa.watakuja wataalamu wakupe maujanja usihofu
duu hapo ikishindikana inabidi harusi ipigwe upya hahaaaaa.watakuja wataalamu wakupe maujanja usihofu