Kufuta picha zako na information zako kweye blog ya mtu??? Hilo haliwezekani ili uweze kufuta au kubadili chochote kwenye blog inabidi ujue username na pasword, kisha ndio unaweza ukafanya hayo mabadiliko. Chakufanya ni wewe kuwasiliana na mmiliki wa hiyo blog kisha ukamwomba afute hizo picha zako. Akikataa unaweza ukairipoti blog yake kwa blogger. Nimeassume hiyo blog ni ya google