How can i delete my photos and information

Mtende

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
6,385
Reaction score
7,336
Habari zenu
hivi inawezekana kufuta picha zangu na information zangu kwenye blog ya mtu?
 
Kufuta picha zako na information zako kweye blog ya mtu??? Hilo haliwezekani ili uweze kufuta au kubadili chochote kwenye blog inabidi ujue username na pasword, kisha ndio unaweza ukafanya hayo mabadiliko. Chakufanya ni wewe kuwasiliana na mmiliki wa hiyo blog kisha ukamwomba afute hizo picha zako. Akikataa unaweza ukairipoti blog yake kwa blogger. Nimeassume hiyo blog ni ya google
 
si ya google ni ya michuzi
 
si ya google ni ya michuzi
Samahani kwa kukuchanganya. Niliposema ni ya Google nilikua namaanisha imetengenezwa kwa kutumia platform ya Google ambayo ni Blogger. Basi wasiliana na Michuzi kisha umwambie atoe hizo picha zako
 
ok thanks mkuu
 
Back
Top Bottom