Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
- Thread starter
-
- #21
Take it easy Nyani Ngabu mbona cheche nyingi?kulikoni?Kuna watu wapumbavu kabisa humu. Kwa kuangalia tu mabandiko ya watu kwao inatosha kujifanya wanaujua umri wa mtu.
Na kudhihirisha zaidi upumbavu wao, mtu unaweza hata ukatunga stori tuseme ya mwaka 1983 ukiwa Canada ukisoma shahada yako yako ya uzamili na hao wapumbavu wakaingia mkenge na kujifanya wanaujua umri wako kwa kuona tu umeandika hivyo.
Na hapo hata hawakujui, hawajawahi hata kukuona, hata ulichokiandika hawana uhakika nacho, lakini wanafikia hitimisho la kujifanya wanaujua umri wako.
Kibaya zaidi unakuta wanajiaminisha kabisa kuwa wanachokisadiki ndicho sahihi. Huo ni zaidi ya ujuha na ujinga. Ni upumbavu maradufu.
Hivi humu mnajuana fulani ana umri gani ? Au ndio mnaangalia comments za mtu ndio unasema fulani babu inabidi awe mfano? Usije kujikuta unataka kuwa mfano kwa baba/mama yako.....even fools grow old!
Take it easy Nyani Ngabu mbona cheche nyingi?kulikoni?
"Dont waste your time hating people by Preta....life is too sweet..."I'm easy like Sunday morning!
I just thoroughly hate people who think they know people whom they don't even know.
Ndo tuongelee sasa jamani....Dunh. ...inaweza kuwa topic nzuri sana ila tunaongelea hapa jukwaani au huku kitaa tunapoishi kabisa! !???
Haipo kama unavyofikiria....kuna vijana late 20's na wana busara sana tu na si vibabu!!!sio lazima uwe kibabu ili uongee vitu kwenye common senses but all in all tusiende out of topic!
Ngoja nikuulize kitu mkuu...What kind of impression will you get of someone just bluffing non senses on the internet even though u dont know them?Will you interact with them?
Ndo tuongelee sasa jamani....
I'm very versatile.
I just roll with the punches and go with the flow.
I can be super silly just as much as I can be cerebral.
So, yes. I will interact with anybody who is willing to interact with me on any level.
As far as my impression of folks who anonymously spew out nonsense on the internet, there will be none.
There will be none because it's hard for me to have an opinion on something or someone whom I don't really know.
Therefore I'll leave it at that.
Kwa hapa mi nadhani tuyachukulie kama yalivyo. . . Kuna clusters humu kutokana na topic husika wanaongea watakavyo bora tu hawatukani lakini wanoangea maneno ambayo unaweza dhani hawana adabu au hawajiheshimu labda lakini ukiwakuta kwa topic nyingine wako na lugha tofauti kabisa.
Maisha halisi hayana mjadala "seniority" lazima ionekane kwa maneno na vitendo kabisa . . . . ila pia kuna sehemu ukienda ukiwa too formal hufanikiwi lengo lako!!
Mi naona ni kama drama tu inategemea uko wapi na nani na nini kinatakiwa kufanyika hapo!!
There is a lot hidden behind the curtains mkuu hamna name calling hapa ni generalization..na hao watu ninao waongelea wapo si hapa tu hata kwenye maisha yetu ya kila siku!!Kwani hivi what do we write when we comment on something?Our thoughts ofcourse,knowledge,experiences et al Hata kama hatujuani umri wetu lakini fikra zako zinaweza kuportray uelewa wako,maturity au hata age range.Ulichoquote na ulichojibu chalk and cheese.
Coz the same can apply in real life our first impressions when we meet new people!!Within minutes you will know if you can get along with the person or not!!The way you portray urself,ur judgements,widsom CAN be a good implication of what kind of person you MIGHT be.
All weather...! Kaka nakuaminia.
There is a lot hidden behind the curtains mkuu hamna name calling hapa ni generalization..na hao watu ninao waongelea wapo si hapa tu hata kwenye maisha yetu ya kila siku!!Kwani hivi what do we write when we comment on something?Our thoughts ofcourse,knowledge,experiences et al Hata kama hatujuani umri wetu lakini fikra zako zinaweza kuportray uelewa wako,maturity au hata age range.
No they do not...but how are they affecting the younger generation?Nahisi kama hujaelewa dhumuni la uzi!Read what Nyani Ngabu and OLESAIDIMU posted u will know where I stand! Trust me most of comments here don't reflect individuals.
No they do not...but how are they affecting the younger generation?
People in JF reflects the people in the real world!!!In jf world or real world?!
People in JF are the people in the real world!!!