How Amazon's New Fire Phone Stacks Up Against The Competition

kitu special kuhusu hii simu si specs zake bali ni jinsi ilivyokuwa na uhalisia kwa wateja wake, unataka kununua tv kama ya jirani? basi huna shida ya kuanza kuulizia kwa watu just unaelekeza simu kwenye tv simu itakwambia ile ni tv gani na inauzwa sh ngap ukitaka kuinunua utaipata lini. nimeipenda sana hio simu
 

Watauza sana wa wale watu wanaofanya transactions online mara kwa mara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…