Ephesians 5:33 Nevertheless, each individual among you also is to love his own wife even as himself, and the wife must see to it that she respects her husband.
Ephesians 5:25 Husbands, love your wives, just as Christ also loved the church and gave Himself up for her
1 Peter 3:7 You husbands in the same way, live with your wives in an understanding way, as with someone weaker, since she is a woman; and show her honor as a fellow heir of the grace of life, so that your prayers will not be hindered
Waefeso 5:22-24 "Enyi wake watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu kwa maana mume ni kichwa cha mkewe kama Kristo ni kichwa cha kanisa, naye ni mwokozi wa mwili lakini kama vile kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo."
Magomvi na cheating ndani ya ndoa yangeisha!
Mbarikiwe sana kuelekea wiki ya Valentine
Rev Masa
Hapo kwenye nyekundu nimepapenda....maana mume ni kichwa cha mkewe kama Kristo ni kichwa cha kanisa, naye ni mwokozi wa mwili lakini kama vile kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo."
Wakuu kama haya ndo maagizo ya mwenyezi mungu kwetu Duniani hizi dharau na haki sawa kwa hawa wamama zinatoka wapi?au nikutokujua ufahamu juu ya maandiko ya biblia?na kama nikweli kwa nini wanaenda kanisani?Ephesians 5:33 Nevertheless, each individual among you also is to love his own wife even as himself, and the wife must see to it that she respects her husband.
Ephesians 5:25 Husbands, love your wives, just as Christ also loved the church and gave Himself up for her
1 Peter 3:7 You husbands in the same way, live with your wives in an understanding way, as with someone weaker, since she is a woman; and show her honor as a fellow heir of the grace of life, so that your prayers will not be hindered
Waefeso 5:22-24 "Enyi wake watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu kwa maana mume ni kichwa cha mkewe kama Kristo ni kichwa cha kanisa, naye ni mwokozi wa mwili lakini kama vile kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo."
Magomvi na cheating ndani ya ndoa yangeisha!
Mbarikiwe sana kuelekea wiki ya Valentine
Rev Masa
Hapo kwenye nyekundu nimepapenda....
Haiwezekani. Kama ni hivyo itabidi tupambane ili pabadilishwe. Inapaswa kuwa, "watiini katika kila jambo lililo jema". Hawatakiwi kutii tu hata kama ni upupu! No way, something need to be rephrased!!
Ephesians 5:33 Nevertheless, each individual among you also is to love his own wife even as himself, and the wife must see to it that she respects her husband.
Ephesians 5:25 Husbands, love your wives, just as Christ also loved the church and gave Himself up for her
1 Peter 3:7 You husbands in the same way, live with your wives in an understanding way, as with someone weaker, since she is a woman; and show her honor as a fellow heir of the grace of life, so that your prayers will not be hindered
Waefeso 5:22-24 "Enyi wake watiini waume zenu kama kumtii Bwana wetu kwa maana mume ni kichwa cha mkewe kama Kristo ni kichwa cha kanisa, naye ni mwokozi wa mwili lakini kama vile kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo."
Magomvi na cheating ndani ya ndoa yangeisha!
Mbarikiwe sana kuelekea wiki ya Valentine
Rev Masa
Yaleyale wanapinga hata maandiko ya kiroho!!huu mkakati na utandawazi unaweza kutufanya tuwe wendawazimu kwa kweli.
Loohhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
Haiwezekani. Kama ni hivyo itabidi tupambane ili pabadilishwe. Inapaswa kuwa, "watiini katika kila jambo lililo jema". Hawatakiwi kutii tu hata kama ni upupu! No way, something need to be rephrased!!
Haiwezekani. Kama ni hivyo itabidi tupambane ili pabadilishwe. Inapaswa kuwa, "watiini katika kila jambo lililo jema". Hawatakiwi kutii tu hata kama ni upupu! No way, something need to be rephrased!!
DC ofcoz ....kama vile kanisa liimtiivyo Kristo....ni kwenye mambo mema.
(kuna wanaume wengine wanawalazimisha wake zao kufanya mapenzi kinyume na maumbile....wasije waka-justify kwa kutumia maandiko hayo)

Ndugu yangu imeandikwa andiko hili lisibadilishwe!
Mkuu, nadhani kukata rufaa kunaruhusiwa. Itabidi tumwombe papa ajaribu. We unategemea nini kama ikiendelea kuwa hivyo wakati tuko kwenye 50% kwa 50%? Si itakuwa kama Bongo kujiita nchi ya kijamaa hadi 2010+?
Nakutafutia kipengere hutakiwi hata kuwaza hayo ulo nayo!
Nilijua hili lazima utalikemea! Enyi wanawake hebu watiini waume zenu, kama dhambi ni ya mwanaume wewe unakuwa umetekeleza andiko